Mwijaku kasema hawa watu wazuri

Mwambino na rafiki ake nyampua tangu wapelekwe dubenga kubokolewa mchonyo hawako sawa kichwani.

Sijui walikutana na majamaa ambao hawakuwavutia, Lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna grisi ya injini za meli huyu siku nchi inapata ukombozi mwenye kidole,mwenye tango,mwenye kupenda samadi anaweza kuja kujionjea
 
Hii ata sio njaa... huu ni utapya mlo wa akili.

Ila kuna ka kifaa hapo, dah! Mashalaaaa. Sjui kwa nini ka fata mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…