Mwigulu: Tutalipa Deni la Tshs 8.4 Trilioni

acer

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
1,595
Reaction score
142
Mwigulu: Tutalipa deni la Sh8.4 Tril

Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya

Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).

Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).

Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.

Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.

"Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa," alisema Mwigulu na kuongeza:

"Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao."

Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: "Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika".

Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.

"Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa

Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii.

"Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa nini," alisema Mwigulu.

Ahsante sana Rais Aliyependekezwa 2015 ImageUploadedByJamiiForums1414502027.075860.jpg
 
Teh Teh...

Mwigulu anajifanya kushangaa fedha zinazotolewa kwa dawa zinaenda wapi wakati anajua ndizo yeye na genge lake wanazoagiza zikawalipe kina Jumanne Mjusi?!!!
 
ni mwendo wakulipa madeni,waziri amesema pia watalipa absa bilion 22.4 kwa ajili ya nbc wafadhili wamegomea kutoa misaada kweli mwaka wa shetani
 
Teh Teh...

Mwigulu anajifanya kushangaa fedha zinazotolewa kwa dawa zinaenda wapi wakati anajua ndizo yeye na genge lake wanazoagiza zikawalipe kina Jumanne Mjusi?!!!

Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.

“Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa
 
Tatizo ni rasilimali zetu hasa gesi mkikataa mikataba isiyo na maslahi kwa wananchi wanaleta vikwazo sasa tuwe pamoja na viongozi wetu ili wazidi kusimamia rasilimali zetu sawia
 
Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !
 
Teh Teh...

Mwigulu anajifanya kushangaa fedha zinazotolewa kwa dawa zinaenda wapi wakati anajua ndizo yeye na genge lake wanazoagiza zikawalipe kina Jumanne Mjusi?!!!

Mkuu lete hoja acha vihoja.Mwigulu ni Mzalendo wa kweli.
 
Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !

Mkuu soma vizuri uzi acha kukurupuka.Mwigulu ndio Rais wa JMT 2015
 
Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !

Pitia tena mchanganuo juu hapo
 
Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !

Maabara ni za Watanzania wenyewe kwa hio lazima tuchangie.
 
Hivi hii bado ni serikali ama shenzikali?

Katiba yao wamekataa uwajibikaji, uwazi wala uadilifu. Halafu leo mwigulu anajidai kutaka kuwaaminisha watu kwamba ccm inajali. Huku wanawake mashangingi wanasema ni kujishaua.

Seriakli isiyo ya watu haiwezi kujali watu.
Serikali haina fedha hata mishahara haiwezi kulipa. Bado inafanya unyang'au kunyang;anya walimu vijimishahara vyao vya mawazo. Bado wananchi wanakufa kwa kukosa huduma za afya. Bado seriakli yote iko nje ya nchi kuzurura kwa anasa.

Deni la taifa limeongezeka kwa kiwango cha ajabu bila hata ya kuwa na uwiano wowote na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya nchi. Huu ni ufisadi.

Serikali imechakachua katiba ili watawala wachache waendelee kuwaumiza wananchi bila wananchi kuwa na haki ya kuhoji popote wala namna ya kuwawajibisha. Na hizi ndizo sababu za uamuzi wa watawala kubinafisisha katiba ya nchi.

Watanzania watachangishwa kwa visingizio vya maendeleo ambayo kimsingi si haki walazimishwe kufanya kwa kuzingatia kwamba serikali inapaswa kutekeleza miradi yake kwa mipango sahihi yenye budget na muda maalumu. Ufisadi wa seriakli ya ccm na dharau kwa Watanzania ndiko kunakopelekea seriakli kuwa mzigo kwa wananchi ambao mchango wao wa lazima kwa seriakli uko katika kodi. Seriakli haina haki ya kuwalazimisha wachangie miradi mingine kwa kutumia vipato vyao hafifu huku serikali hiyo hiyo iklinda ubadhilifu na wizi wa michango ya kodi za wananchi.

Wtanzania amkeni tu i vote out ccm inatumaliza. Tuikatae katiba ya ccm ili tupate katiba yetu inayotuangalia sisi wananchi na si mafisadi hawa.

Mwigulu kuahidi kulipa deni ni dalili kwamba sasa watatangaz ongezeko kubwa la kodi, ama hiyo michango ya lazima na kinachowalinda ni matumizi mabaya ya katiba inayompa raisi uhuru wa kufanya maamuzi bila kushirikisha mtu wala kuhojiwa.

Sasa hivi hiki kitu hakifai kwa sababu ni rungu la hatari hasa likiwa mikononi mwa viongozi wa kichina.

Tanzania ni yetu, tutaikomboa sisi wenyewe!. Na namna ya kuikomboa ni kukataa na kuwawajibisha hawa majambazi, magaidi ccm.

Eee Mungu, tusaidie.

Watalipa kwa hela gani, au watarudi nazo waheshimiwa kutoka ughaibuni ? Au zinazokatwa kutoka ktk mishahara kwa kisingizio cha kujenga maabara ? Hadanganywi mtu hapa !
 
Mwigulu aapa kupambana na wakwepa kodi
Na Angela Kiwia
NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchema ameapa kuwa atahakikisha anapambana na wafanyabiashara wakubwa ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi nchini.
Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam Mwigulu alisema kuwa wapo wafanyabiashara wakubwa nchini ambao wamekuwa wakikwepa kodi na kuikosesha Serikali mapato jambo ambalo halipaswi kufumbiwa macho na kiongozi yoyote mwenye nia njema na nchi yake.
Alisema kuwa yeye kama Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi atahakikisha ukwepa huo wa kodi unakomeshwa na kuwa historia kutokana na kuikosesha Serikali fedha.
“Haiwezekani tuwe na wafanyabiashara ambao kazi yao ni kukwepa kodi, nchi haiwezi kuwa na wafanyabiashara wasio tayari kulipa kodi stahiki, huu ni sawa na uhujumu uchumi, nitahakikisha mpaka natoka kwenye wadhifa huu wizarani napambana nao usiku na mchana mpaka tabia hii iliyojengeka kwa baadhi yao inakoma”alisema Mwigulu.
Aidha alisema kuwa iwapo kila mfanyabiashara nchini atafuata sheria na taratibu zilizowekwa katika masuala ya biashara mapato ya Serikali yataongezeka na kuweza kusaidia kutatua baadhi ya kero nchini.
Pia alisema kuwa ilikuweza kuwadhibiti wafanyabiashara hao atahakikisha wakusanya mapato nchini (TRA) wanatimiza wajibu wao na si kuwa sehemu ya wakwepa kodi.
“Ni lazima kuimulika TRA ili kuweza kufanikisha hili, ni kuhakikisha kuko safi, maana wao ndiyo wanahusika wa ukusanjaji wa kodi nchini, hivyo kila mfanyakazi anatakiwa kutii kiapo chake cha kazi kwa kuwa mwaminifu, na watakaoonekana kuwa ni kikwazo zipo hatua stahiki za kuwachukulia,”alisema.
Hata hivyo alieleza kuwa anaamini ya kuwa iwapo kila mfanyabiashara atalipa kodi inavyostahiki ongezeko la mapato litakuwepo tofauti na lilivyo hivi sasa.
Aliongeza kwa kusema kuwa mkakati wake wa kukomesha malipo hewa yanayofanywa na baadhi ya watendaji nchini ni endelevu maana wapo baadhi ya watendaji si waaminifu.
“Tumeweza kuanza kwa kuhakikisha mishahara hewa inakomeshwa na matunda tayari yameonekana, hivyo naamini kila sekta ikiguswa fedha hizo zitaongezeka mpaka hapo mwakani, ni lazima kila Mtanzania akawa tayari kutimiza wajibu wake sio kufikiria kumnyonya mwingine.Nchi hii ni yetu sote hivyo ni jukumu letu kulinda kinachopatikana na kukigawana kwa usawa,”alisema.
Alieleza kuwa Serikali imekuwa ikipoteza zaidi ya trillion 1.6- kila mwaka kutokana na malipo ya mishahara hewa jambo ambalo katu hawezi kulifumbia macho kama Naibu Waziri wa Fedha.
“ Ukisoma taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) utagundua ya kuwa zaidi ya sh. trillion 1.6 kila mwaka zinapotea kutokana na mishahara hewa, fedha hii ni sawa na bajeti ya Wizara nzima, haiwezekani tukaendelea kufumbia macho wizi huu.Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine, hivyo lazima wahusika washughulikiwe ipasavyo”alisema.
Nchemba alisema- kuwa tayari ameunda kikosi kazi kwa ajili ya uchunguzi wa uovu huo ambacho kinafanyakazi zake kwa umakini na hivi karibuni ataweka bayana taarifa zilizokusanywa kutokana na uchunguzi huo.
“Mimi binafsi sipo tayari kukaa tu ofisini wakati kuna watu wanatuibia bila kuwafuatilia, nakumbuka nilipotoka, katika familia masikini hivyo nayajua maisha ya Mtanzania aliyeko kijijini anayekosa mafuta ya taa huku watu watu wachache wakimsababishia Mtanzania mwenzao maisha magumu,haiwezekani na sipo tayari kuona hilo likitokea, nitapambana nao mpaka kieleweke,”.
Aliongeza kwa kusema,“Wale waliokuwa wanachukua fedha na kuwalipa watumishi hewa- tumeshakabidhi majina yao katika vyombo vya usalama, ila zoezi hilo linaendelea, mpaka tuwakamate wote,”alisema Mwigulu.
Pia alisema kuwa tayari amenza kufanya taratibu za kupitia upya misamaha ya kodi ili kuweza kubaini mapungufu yaliyopo ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua stahiki katika kufanya marekebisho katika misamaha hiyo.
“Katika suala la misamaha ya kodi ikifuatuiliwa kwa ukaribu,kunaweza kuokoa kiasi kikubwa cha fedha.Nimeshaanza taratibu za kuweza kupitia upya misamaha ya kodi, imekuwa ikilalamikiwa sana hivyo ni vyema kuweza kujiridhisha na kuondoa kasoro zilizopo ili kuokoa fedha”alisema Mwigulu.
-Akiongelea taarifa za uwepo wa mashine feki za EFD alisema kuwa tayari TRA iliweza kumkamata mfanyabiashara mmoja ambaye alielezwa kumiliki na kutumia mashine hizo hivyo hatua stahiki zinachukuliwa dhidi yake.
“Katika suala la ukwepaji kodi hilo halina mjadala, yeyote atakayebainika kuwa amefanya udanganyifu atachukuliwa hatua stahiki bila kujali jina wala wadhifa alionao, haiwezekani kufumbia macho uovu huo”alisema Mwigulu.
Alisema yeye kama mchumi ni jukumu lake na timu yake kubuni mbinu mbadala za kuongeza mapato nchini ili kuweza kukidhi mahitaji yaliyopo ikiwa ni pamoja na kutoa vipaumbele katika utekelezaji wa majukumu.
 
ni mwendo wakulipa madeni,waziri amesema pia watalipa absa bilion 22.4 kwa ajili ya nbc wafadhili wamegomea kutoa misaada kweli mwaka wa shetani
Tatizo mmezoea kulalamika lalamika tu mwarobaini wa tatizo la madeni ya ndani hasa hifadhi ya jamii na msd umepatikana bado mnalalama ina maana mnataka huduma bora ziendelee kukosekana kwenye vituo vya afya ili mpate lakusema maana mnaishi kimatukio.
Mtoto wa mfugaji anakaba kila kona safari hii tuone mtawadanganya nini wananchi
 
Serikali ya CCM hii haiwezi hizo ni porojo tu, ila matokeo ni kuumiza watumishi waliopo katika mifuko hii kuja kukosa mafao yao
 
Mwigulu: Tutalipa deni la Sh8.4 Tril

Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya

Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).

Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).

Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.

Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.

“Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa,” alisema Mwigulu na kuongeza:

“Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.”

Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: “Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika”.

Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.

“Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa

Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii.
Dar es Salaam. Serikali imesema inaandaa utaratibu wa jinsi ia kulipa madeni inayodaiwa na taasisi za hifadhi ya jamii pamoja na Bohari ya Dawa (MSD).

Mifuko hiyo inaidai Serikali Sh8.43 trilioni. Mfuko wa PSPF unadai (Sh429 bilioni), PPF (Sh192 bilioni), NSSF (Sh467 bilioni), NHIF (Sh107 bilioni), LAPF (Sh170 bilioni) na GEPF (Sh6.8 bilioni).

Jumla hiyo ya deni la Serikali linahusisha deni jingine la PSPF la Sh7.06 trilioni ambayo ni malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alisema kuwa mifuko hiyo huikopesha Serikali kupitia wizara mbalimbali, fedha ambazo hutakiwa kulipwa baada ya muda fulani.

Alisema wizara zisipolipa na hivyo deni kukaa kwa muda mrefu, huingizwa kwenye deni la Taifa.

“Madeni hayo ni makubwa, yanahitaji baraza la mawaziri kujadili utaratibu gani utatumika kulipa,” alisema Mwigulu na kuongeza:

“Kwa mfano deni la PSPF ni kubwa na linahitajika kulipwa, hivyo tunaweka utaratibu lakini siyo kwamba Serikali hailip... kama mwaka jana tuliilipa PSPF zaidi ya Sh50 bilioni sema nao wana mahitaji yao.”

Akizungumzia deni la MSD, Mwigulu alisema: “Hili la MSD tumetaka mchanganuo wa wizara na kila halmashauri jinsi gani fedha zilizotolewa kwa ajili ya dawa, zimetumika”.

Alisema mwaka jana Serikali ilitoa Sh47 bilioni kwaajili ya dawa katika wizara na halmashauri, lakini fedha zilizotumika kununulia dawa ni Sh7 bilioni tu.

“Nyingine wamefanyia mambo mengine na ndiyo maana tunasema hatuwezi tukawa tunatoa tu fedha bila kupewa mchanganuo wa fedha hizo zimefanyiwa nini,” alisema Mwigulu.

Ahsante sana Rais Aliyependekezwa 2015View attachment 197156
Huyu ndio aina ya kijana Taifa linamwitaji,charity begins at home hata jimboni kwake jamaa yuko vzr sana .
Taifa limepata mkombozi wa kweli,kijana mzalendo na msomi
 
Serikali ya CCM hii haiwezi hizo ni porojo tu, ila matokeo ni kuumiza watumishi waliopo katika mifuko hii kuja kukosa mafao yao
mkuu salama?ufipa hawajambo?tatizo mmezoea porojo na ndio maana mpaka leo makao makuu yenu mmepamgisha vyumba viwili pale ufipa licha yakupata zaidi ya ml 300 kwa mwexi
 
Mtazitoa wapi wakati serikali inahaha kukopa ili kufidia pengo la wafadhili!
 
Back
Top Bottom