I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,734
- 10,041
Huyu hana tofauti na yule wa 'Yesu na mke wake'
Bwashee acha kufuru!Huyu hana tofauti na yule wa 'Yesu na mke wake'
🤣🤣Uzuri ni kuwa hizi tozo zitakula kwa Mwigulu na ambao wameziridhia wakiwamo zandrano Jumbe Brown (mjumbe machachari kutokea pande za pale makunduchi) na binamu zao.
Huyu aache kuwapa watu kichefu chefu. Hivi anajiona yeye ndio bora zaidi kuliko wengine? Muda utaongea.Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema Tozo za miamala siyo kitu kipya sema tu wananchi ni wasahaulifu.
" Nyie hamjawahi kupaa Meseji inayosema ' tuma na ya kutolea'?" Dr Mwigullu amewauliza waandishi wa habari
Sasa hiyo Tuma na ya kutolea ina tofauti gani na tozo? amehoji
Source: ITV habari
Aache kudanganya, hiyo tuma ya kutolea ni yale makato yanayotozwa na makampuni ya simu na mawakala wao.......hakujawahi kuwa na tozo ya uzalendo kwenye hayo makato, hii wameiweka kiwiziwizi.....Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema Tozo za miamala siyo kitu kipya sema tu wananchi ni wasahaulifu.
" Nyie hamjawahi kupaa Meseji inayosema ' tuma na ya kutolea'?" Dr Mwigullu amewauliza waandishi wa habari
Sasa hiyo Tuma na ya kutolea ina tofauti gani na tozo? amehoji
Source: ITV habari
Kww hiyo siku hizi tunatuma na ya kutolea mara 2Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema Tozo za miamala siyo kitu kipya sema tu wananchi ni wasahaulifu.
" Nyie hamjawahi kupaa Meseji inayosema ' tuma na ya kutolea'?" Dr Mwigullu amewauliza waandishi wa habari
Sasa hiyo Tuma na ya kutolea ina tofauti gani na tozo? amehoji
Source: ITV habari
Kivipi bwashee?Kww hiyo siku hizi tunatuma na ya kutolea mara 2