Hii ina mashiko kiasi. Ebu fikiria bomu limelipuka bila watu kujua then mtu anakuja na video mwanzo mwisho, alijuaje kama bom litarushwa. Na kwa hali ile baada ya bomu kulipuka hakuna anayekumbuka kamera. Kwa kias kuna kahoja hapa hata kama mtanitukana.
ndio furaha yetu mutajikanyaga kubadirisha ukweli lakini wapi statement ya maneno manne ya Mbowe CCM nzima munaweweseka hamna ujanja this time munavuliwa nguo Kikwete jini makata la kunyonya damu kwa kuruhusu mauaji kwenye nchi amejianika mumepanic aiseeHili jambo kwamba cdm ndiyo wamejirushia bomu kwenye mkusanyiko wao kwa wao it's so obvious halihitaji hata u_crack mind to find out, logic tu ya layman utajua kuwa cdm inajaribu kuwapa watu reason za kupigana dhidi ya serikali yao!!
And through this wao,"cdm" ndipo wanajitengenezea mazingira mazuri ya kufanikiwa na "mambo" yao.
People need to know that Politics is a "very dirty" game.
Lakini je! Sasahivi wako tayari kueleza wanaarusha sababu haswa za kitendo walichofanya?
Saa moja hii Hujachelewa kuchukuwa buku 7? Au itakuwa arrears kesho ulambe two times!
Kinachonishangaza, Ben Saanane ameweka pati 1 halafu anasema watu wasubiri part 11 what does it mean???!
Hiyo part 11 iko studio au?!
mbona povu. Mbinu za kutaka madaraka zitawaumbua tu.
Bwana Mwigulu kadai ni CHADEMA wenyewe ndio wamepanga mauwJi ya Arusha kutafuta umaarufu wa kisiasa.
Amedai kuwa iweje mpiga video wa U tube achukue tukio zima na asishituke kama vile anachukua shooting ya send off.
Adai ana ushahidi wa mipango ya mauwaji toka yale ya Morogoro hadi ya Arusha.
Hili jambo kwamba cdm ndiyo wamejirushia bomu kwenye mkusanyiko wao kwa wao it's so obvious halihitaji hata u_crack mind to find out, logic tu ya layman utajua kuwa cdm inajaribu kuwapa watu reason za kupigana dhidi ya serikali yao!!