Hata Mimi na wish hivyo lkn ndo wishes only! Ni mwana mpendwa wa msoga huyo! Mpaka za uvunguni wanasema Mzee alianzia kazi singida! Sasa alipokuwa huko singida ...... Aiseeee acha tuu
Wachague kuendelea kunuka au kukaza mbeleko.
Kilio na uchungu wa watanzania haujawahi kumwacha yeyote salama. Jambo likilalamikiwa sana huwa Mungu ana Approve.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.