Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,054
- 23,505
Ni ukweli ulio wazi kabisa ipo haja ya dhati kabisa kwa serikali ya Tanzania kuanzisha mashamba ya kitaifa ya chakula.
Manufaa:-
Itasaidia kudhibiti bei ya chakula kwa mwananchi wa kawaida,Mpaka kufikia minimal prices.
*Kilimo hiki cha mashamba haya ni vyema kikahudumiwa na WAFUNGWA AU PRISONERS badala ya kuwarundika magerezani na kuwagharamia kwa gharama kubwa,ni vema wakatumikia kwa kuzalisha chakula pia hapo hapo tunaweza kuambulia wakulima stadi.