SULEIMAN ABEID
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 390
- 385
Hongera mwigulu nchemba !
waswahili wanasema, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
ukweli alichokizungumza mida hii, mwigulu nchemba anaonesha wazi kubadilika na hivi sasa anaamua kuzungumza ukweli.
tuwashauri wabunge wengine wamuunge mkono kwa dhati, kikubwa tu huko mbele asibadilike, ukweli aliousema ndiyo watanzania wote wanaouhitaji, tukubali wahusika wote wachukuliwe hatua za kutozwa kodi walizopaswa kulipa kutokana na mshiko waliopewa.
hata hivyo wasiache kujadili hatua za kuwachukulia kwa kosa la kupokea mapato yenye mashaka wakiwa viongozi na watumishi wa umma kinyume na maadili ya umma.