Elineema Mosi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 255
- 72
Anaumwa ugonjwa unaitwa Rwakatata.
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?
Ugonjwa wa Rwakatata, unakufanya uwe na aibu kama mdudu komba, halafu na comfo linapungua to 0%.mmmh yawezekana sio? Makeke yanepungua sijui yupo wapi na movie nyingine
hoja za kimburula1. Umesema kuna mambo mengi sana kuhusu kupotea kwa Mwigulu! Taja machache basi
2. Unadai wengine wamezusha mengi! Taja angalua machache waliyozusha.
3. Unataka aje afanye nini wakati hujaeleweka unataka nini?
1. Umesema kuna mambo mengi sana kuhusu kupotea kwa Mwigulu! Taja machache basi
2. Unadai wengine wamezusha mengi! Taja angalua machache waliyozusha.
3. Unataka aje afanye nini wakati hujaeleweka unataka nini?
Kaka namtaka aje hapa mwenyewe. Wakati anenda jeshini alituaga hvyo kwakuwa yeye ni member mwache aje mwenyewe hapa atuondolee hii sintofahamu,labda wanamzushia mengine ila la Lwakatare ni kweli alipanga mambo ya kishetani hivyo aje aombe radhi hapa jamvini.
mh mwigulu yupo denmark. amekwenda kimkakati zaidi
Kwani huko hamna mtandao, mshamba tu huyo, hana lolote.mh mwigulu yupo denmark. amekwenda kimkakati zaidi
sina hakika mkuu, ila nijuavyo mie ni kuwa kuna mwaliko wa kichama uliletwa toka kwa mtawala wa nchi hiyo. akitoka huko ataelekea sweden na mwisho atamalizia ufaransa. yote ni mialiko ya kimkakati zaidi.Kweli? au amekwenda kuangalia kamtambo kangine ka kurudufu msg ama?.
A lie has speed,but truth has endurance
Kwani huko hamna mtandao, mshamba tu huyo, hana lolote.
Kama sijakosea unamuulizia yule Director mashuuli wa filamu za kigaidi.ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje hapa ili tujue ukweli wa mambo?
Huko Denmark hakuna network?mh mwigulu yupo denmark. amekwenda kimkakati zaidi