Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Wana jamvi hebu tuwe self adjustable kidogo,tusikurupuke kwa wivu kwa sababu aliyesema ni mwigulu na muna bifu naye,hebu fikiria kwa miaka takribani mitano imepita hakuna bajeti iliyojitosheleza wala iliyotekelezwa kwa asilimia 100,hapa nilivyomuelewa ni kuwa kwa vile kuna budjet deficit basi kidogo muhimu kilichopo kitakwenda kwenye matumizi muhimu,hapa amesisitiza kutoa priority kwa matatizo ya msingi kwani kupanga ni kuchagua.kuifumua budjet haina maana uianalyse upya bali wizara itatoa kipaumbele kwa matumizi ya msingi ndani ya kila wizara na yale yasiyo ya msingi yataachwa kwa vile budjet haitoshi.nafikiri alimaanisha hili wanajamvi.
mbona unajichanganya na wewe? Hivi bajeti ikishapita bungeni mnaweza kuifumua tena? Je wakati bajeti zingine zinawakilishwa bungeni alikuwa wapi? Mbona wenzake walikuwa mbele kujibu ndiyoooooo