Mwigulu Nchemba usilalamike, Wewe ni mmoja wa waanzilishi wa siasa za "kuchafuana" na "kutesana"

Wakati nasoma hio mistari nikakuta machozi yananitoka, who is next ???
Katika watu ambao hawafia kuaminika kwa jambo lolote ni huyo nchemba, yeye na wale vibaraka wake hawaoni hatari kumsingizia mtu asiyeweza hata kupata ugali wa kila siku kuwa bi gaidi.

Magerezani wamejaa watu kwa kuonewa na kubakiwa kesi zakijinga kabisa, nchemba hii falsafa ya 'ugaidi' usizoee kuilazimisha katika nasikio ya watu na kuwakamata watu na kuwapa kesi za ugaidi, jikanye na uwakanye vubaraka wako, si vizuri kuuwa vijana wadogo na kuwabambikia wengine makesi yasiyo na msingi, familia zao zinateseka, wazazi wao wanateseka, dua mbaya kila siku juu yenu hasa wewe,

Tunakoenda si kuzuri, chunga mzee kuna maisha baada ya huo ulimbukeni wakisiasa, hamana haya sala hamna huruma na damu za watu.
 
Alipoteuliwa kuwa waziri wa wizara hii,ilinipa shaka moja kwa moja ,tabia zake na matendo yake ya nyuma ,nilihisi kuna kitu kitakuja kuwa kibaya sana chini ya wizara hii,na bado,sababu,huyu jamaa anafanya na kutamka mambo bila kujua what's is the impacts, na wenzake wanampatia vyeo kwa sababu ndio anaonekana in strategic murder wao
Si ww tu,wengi wanajua hivo
ni hatari
 
Ninaamini atabadilika,na akibadilika...Basi anaweza kuja kuwa mwanasiasa wa kiwango bora kwa siku za baadae.
Apunguze "Political Arrogance" zisizo na maana!!Aendeshe siasa za umoja na upendo na sio visasi na maudhi
Hawezi kubadilika, huyu ni mchunga ng'ombe kama wachunga wengine, ushauri wao hadi wagongwe na nyoka ndio akili inamkaa sawa
 
DSC06673.JPG
Tesha ni kijana aliyemwagiwa tindikali katika kampeni za uchaguzi mdogo Igunga.Baada ya tukio lile na kupata matibabu Mwigulu alianza kuzunguka naye kwenye majukwaa na kutoa taarifa kwamba alimwagiwa na Chadema.

Katika mjadala mzito unaoendelea JF tunaomba pia Mwigulu ajibu hili. Kwa nini alimtumia Tesha katika kufanya siasa chafu?Ni mahakama gani iliyodhibitisha kwamba Chadema ilimmwagia Tesha tindikali? Na je,majeruhi kama huyu ni sahihi kumfanya steji shoo badala ya kumpa msaada wa kisheria?
2.jpg
 
Back
Top Bottom