Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda zaidi wa kushiriki shughuli nyingine za kiuchumi.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Februari 3, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kikanda wa Afrika wa Matumizi Endelevu ya Zana za Kilimo unaofanyika katika Hotel ya Johari Rotana, Dar es Salaam ambao unalenga kuweka msingi wa ushirikiano wa kikanda katika kuendeleza Ajenda ya Mfumo wa Zana Endelevu za Kilimo Barani Afrika (F-SAMA).

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema ni muhimu kuimarisha uwekezaji katika zana za kilimo rafiki kwa mazingira na zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi. “Zana hizi zinapaswa kupunguza uzito wa kazi, kuongeza tija, kupunguza upotevu wa mazao, na wakati huo huo kulinda mazingira kwa kutumia teknolojia zinazohimili athari za tabianchi kama ukame na mabadiliko ya misimu.”

“Tunapaswa kuhakikisha ushiriki mkubwa na wa makusudi wa Sekta Binafsi katika uzalishaji, usambazaji na utoaji wa huduma za zana za kilimo. Serikali zetu zinapaswa kuweka mazingira wezeshi ya sera, sheria na vivutio vya uwekezaji ili Sekta Binafsi iweze kushiriki kikamilifu, kuongeza upatikanaji wa zana za kilimo, na kupunguza gharama kwa wakulima.”

Waziri mkuu amesema kuwa ni lazima kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika biashara, ubunifu na utoaji wa huduma za zana za kilimo kwa kuwa ni kundi lenye nguvu kazi, ubunifu na uwezo wa kuleta mabadiliko ya haraka endapo litapatiwa mafunzo, mitaji, teknolojia na fursa za masoko.

Amesema uwezeshaji wa makundi hayo ni msingi wa maendeleo jumuishi na endelevu. “Uwezeshaji huu unapaswa kupimwa kwa viashiria mahsusi vya ajira, uanzishwaji wa biashara endelevu, na ushiriki wa vijana na wanawake katika minyororo ya thamani ya zana za kilimo.”

Waziri Mkuu amesema kupitia mkutano huo nchi za Afrika, kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Umoja wa Afrika (AU), taasisi za fedha, sekta binafsi, watafiti na wadau wa maendeleo zinakusudia kujenga mifumo thabiti ya huduma za zana za kilimo inayokidhi mahitaji halisi ya wakulima wadogo na wa kati, kuimarisha uratibu wa taasisi, kubadilishana uzoefu.

Hivyo, inatarajiwa watunga sera, wataalamu, watafiti, sekta binafsi na washirika wa maendeleo watapata fursa ya kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu bora, na kujenga uelewa wa pamoja kuhusu namna bora ya kuendeleza matumizi endelevu ya zana za kilimo kama chachu ya mageuzi ya mifumo ya uzalishaji chakula.

Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo, Godfrey Chongolo amesema kuwa Kupitia mkutano huu, Serikali imepanga kuzindua Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo wa Awamu ya Pili (2026-2035). Mkakati huu umelenga kuimarisha matumizi, utengenezaji, uendelezaji, uhamasishaji, usimamizi na uratibu endelevu wa teknolojia zinazorahisisha kazi na kuokoa muda katika mnyororo wa uzalishaji na uongezaji wa thamani wa mazao ya kilimo.

8db94ac8c0894b4d9af8611e493b7e36.jpg
4cbb684de7df4125b682dc1cbc3a0cd3.jpg
10a46025939a44cd950ad612645b885b.jpg
 
Attachments

  • dbc7979d7436455da9e2d5881ba1abf7.jpg
    dbc7979d7436455da9e2d5881ba1abf7.jpg
    495.3 KB · Views: 10
  • 4329fd58fbaf4d32b3ee5cbe00e8a077.jpg
    4329fd58fbaf4d32b3ee5cbe00e8a077.jpg
    571 KB · Views: 10

habari njema sana kwa wakulima,
ni wakati muafaka sasa kujipanga na kutumia fursa hiyo muhimu ya kilimo ambayo ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya ccm 2025-2030.

well done PM
 
kwa nini serikali inunue matrekta badala ya wakulima kununua matrekta? serikali iwezeshe wakulima kupata know how ya farming then wao wenyewe wakakope benki na kununua pembejeo serikali ikusanye kodi thats how capitalism functions …
 
Hapo ni dili la mtu wala hawana dhamira ya dhati ya kufanya kwa hayo matrekta ,watanunua watapiga pesa ya 20% then matreka wanaiba vifaa yanatelekezwa kisha yanakuja kupigwa mnada kwa laki 2 kila trekta.
 
kwa nini serikali inunue matrekta badala ya wakulima kununua matrekta? serikali iwezeshe wakulima kupata know how ya farming then wao wenyewe wakakope benki na kununua pembejeo serikali ikusanye kodi thats how capitalism functions …
Nani kakwambia tunafuata capitalism!?..wakulima wa ekari tatu wanaweza kopa trekta?..huwa mnaongeaongea tu
 
Mjinga tu ndio anaweza kuamini hayo matapeli.
Gentleman,
ni malofa wachache waliopoteza uelekeo ndio watazubaa kutumi fursa hii muhimu sana kwa maendeleo ya kilimo na nyenzo ya kujikwamu kutoka katika unyonge wa kiuchumi :NoGodNo:
 
Huku sisi washatuwekea power tiller halmashauri,tunalimiwa kwa bei rahisi,na ruzuku ya mbolea juu,wewe endelea kulaumu na kulaani
Serious unazungumzia kilimo na power tiller? Ukitaka kulima kilimo serios zungumzia Massey Ferguson, Valmet, Holland nk sio huo upuuzi wa India. Ww huzungumzii kilimo bali kukuna ardhi.
 
Nani kakwambia tunafuata capitalism!?..wakulima wa ekari tatu wanaweza kopa trekta?..huwa mnaongeaongea tu

kwani ni lazima kila mtu awe mkulima? kwani nini wachache wenye uwezo na skills za kilimo wasiwezeshwe halafu wachukuwe wenyewe mkopo wanunue matrekta, mbolea na mengineyo na kuajiri waliobakia? tumepitia huko kuanzia serikali kununua mabasi ya wanafunzi mradi uliokuwa na nia nzuri ya kiutu lkn ulikufa kwa kushindwa kuelewa simple economics mpaka kunyanganya Christians mashamba yaliokuwa productive kama ya mkonge, chai, kahawa yalioajiri watu wengi wamewapa muslims na tayari wameua yote kwa maana hawana skills za kilimo sana sana wameyatumia kukopea na kujitanganza mabilionea on forbes list lkn wananchi ajira hakuna na wala serikali haipati mapato ya kodi, and the same pattern mwendokasi serikali imekopa imenunua mabasi halafu inamkabidhi muslim mofat bure bila ya kuingiza hata senti ingawaje kila kitu serikali imelipia na deni anadaiwa serikali siyo mofat, thats evil.

communism never works ...
 
kwani ni lazima kila mtu awe mkulima? kwani nini wachache wenye uwezo na skills za kilimo wasiwezeshwe halafu wachukuwe wenyewe mkopo wanunue matrekta, mbolea na mengineyo na kuajiri waliobakia? tumepitia huko kuanzia serikali kununua mabasi ya wanafunzi mradi uliokuwa na nia nzuri ya kiutu lkn ulikufa kwa kushindwa kuelewa maana economics mpaka kunyanganya Christians mashamba yaliokuwa productive kama ya mkonge, chai, kahawa na kuajiri watu wengi wamewapa muslims na tayari wameua yote kwa maana hawana skills za kilimo sana sana wameyatumia kukopea na kujitanganza mabilionea on forbes list lkn wananchi ajira hakuna na wala serikali haipati mapato ya kodi, and the same pattern mwendokasi serikali imekopa imenunua mabasi halafu inamkabidhi muslim mofat bure bila ya kuingiza hata senti ingawaje kila kitu serikali imelipia na deni anadaiwa serikali siyo mofat, thats evil.

communism never works ...
Ubongo wako umeoza wewe
 
Serious unazungumzia kilimo na power tiller? Ukitaka kulima kilimo serios zungumzia Massey Ferguson, Valmet, Holland nk sio huo upuuzi wa India. Ww huzungumzii kilimo bali kukuna ardhi.
Power tiller zinatoka Japan na India,ni trekta dogo,kwa ajili ya wakulima wadogo, mbulukenge
 
Hakuna mjapani anatengeneza huo uchafu. Ungesema Tracktor za KUBOTA ningekuelewa. Hata hivyo hiyo kazi ya kulima fanyeni nyie washamba wa ccm, sisi tuko hapa mjini tunafanya mambo ya technology kama Graphics Design, content creators, coding nk, hizo kazi ngumu zenye kipato duni fanyeni nyie mnaotumia nguvu nyingi na akili kidogo.
 
Back
Top Bottom