Mwaka Mpya 2015
Member
- Jan 2, 2015
- 87
- 33
Baada ya kutafakari kwa kina harakati na mienendo ya Mwigulu nchemba naibu katibu mkuu ccm bara na naibu waziri wa fedha nimegundua mwanaume Huyu ni simba. ....
Kwanza nikiri hana uadui na mtu yoyote na kwa mbali inaaminika ni Left wing wa lowasa au chaguo namba mbili iwapo lowasa ataenguliwa jina lake kamati kuu...basi atamuunga mkono mwigulu nchemba. ...
Misimamo yake maisha yake mbinu zake na harakati zake zimemfanya kua mwanasiasa mwenye nguvu katika wakati mfupi tuu. ..
Amejizolea umaarufu mkubwa katika taifa hili na kuonekana ni mwiba nje ya ccm kwa wapinzani na ndani ya ccm kwa wasaka URAIS
Hofu ya mwigulu kuingia ikulu imetanda katika kila moyo wa mwanaccm na mioyoni mwa watanzania wengi huku wengine wakiona kama miujuza
Wapo wanaohaha kujaribu kuzima moto huo lakini wanakutana na roho ngumu Yahoo mwigulu nchemba harudi nyuma wala hapunguzi ni mapambano makali ni vita nzito....
Nitumie nafasi hii kuwatakia kila la heri wanaoshinda stationary kutengeneza vyeti feki na barua feki mwisho mtapata raisi feki anaewatuma kufanya hivyo
Wanyiramba tunasema SONGERA ZIGIZIGI....