Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 349
KUELEKEA 5 BORA NDANI YA CCM,GAZETI LA MWANANCHI LIMEFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KWA KUNDI LA VIJANA AMBAO WANAWEZA PENYA 5 BORA.
MWIGULU ANAKWENDA TANO BORA.
Chanzo: Mwananchi[/B]
Kwani Hayati Baba wa Taifa aliongoza Taifa hili akiwa na uzoefu upi!!!!
usilinganishe enzi za mwalimu ambazo walinganifu nae si kama waliopo sasa kwenye competetion ya sasa.
ukumbuke kuna watu zamani pia waliajiriwa wakiwa na elimu ya form 4 au 6 ..haitahalalisha zama za leo zenye competition ya elimu na uzoefu
Mwigulu amejitosheleza na ana sifa zote za kuiongoza ccm na Tanzania,tuachane na kuchagua kwa mazoea,ili tubadilike Tanzania tunahitaji kiongozi mwenye uthubutu asiye na woga na powerful kama mwigulu mm kura yangu ni 100 kwa 100 kwake...mungu ambariki sana...
Promo tu hiyo! mtu hajawahi kuwa waziri kamili (ni naibu tena miezi michache tuu)apewe urahisi.utamlinganishaje mwigulu na Samwel Sita aliyeshika uwaziri kamili tangu enzi za mwalimu.
Kigwa hajawahi hata kupewa dhamana ya uwazi hata ya unaibu, hawezi kabidhiwa nchi.
January amewahi kuifanyia nchi hii kitu gani cha kihistoria na ajabu (unique) katika nchi hii???? MB 8 zilimshinda ataweza wananchi mil 40.after all hajawahi hata kuwa waziri kamili
Watch "TUNAIMANI NA WEWE MWIGULU NCHEMBA(Rose Muhando,Upendo Nkone,Mwaitege,Mwaipaja n.k)" on YouTube - https://youtu.be/VIBt_u8-KOQ
Hakika Anastahili huyu kiongozi mzalendo
"Dk Magufuli, ambaye ameingia kwa mara ya kwanza kwenye mbio za urais, ndiye anayeweza kushangaza wengi iwapo atapitishwa na Kamati Kuu kwenda kupigiwa kura. Rekodi ya utendaji wake ni bayana na karibu mawaziri 10 waliochukua fomu wametumia ujenzi wa miundombinu ya usafiri kuwa ni mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne ambayo alihusika"
Chanzo: Mwananchi.
Ccm msipompitisha makongoro madudu yatakayo kuja kutokea hatutakuwa na wakumlaumu zaidi yenu maana mako akipitishwa hana haja ya kufanya kampeni na atashinda kwa zaidi ya 60%
LOWASSA anatosha, ni mchapakazi, anaweza, na watanzania tunamuamini.
Promo tu hiyo! mtu hajawahi kuwa waziri kamili (ni naibu tena miezi michache tuu)apewe urahisi.utamlinganishaje mwigulu na Samwel Sita aliyeshika uwaziri kamili tangu enzi za mwalimu.
Kigwa hajawahi hata kupewa dhamana ya uwazi hata ya unaibu, hawezi kabidhiwa nchi.
January amewahi kuifanyia nchi hii kitu gani cha kihistoria na ajabu (unique) katika nchi hii???? MB 8 zilimshinda ataweza wananchi mil 40.after all hajawahi hata kuwa waziri kamili
Mwigulu Nchemba ni kiongozi asiyependa makuu
Ni kiongozi anayeishi katika kauli zake
Ni kiongozi Mwadilifu, Mchapakazi, mwajibikaji, mzalendo na mwenye maono thabiti
Mwigulu Nchemba Tunamwamini, Tunamuunga Mkono, Tupo nyuma yake
ATATUVUSHA
Ccm msipompitisha makongoro madudu yatakayo kuja kutokea hatutakuwa na wakumlaumu zaidi yenu maana mako akipitishwa hana haja ya kufanya kampeni na atashinda kwa zaidi ya 60%