Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Mkuu Mwigulu Nchemba,leo hukuongea kauli nzuri kiutawala. Leo umemkosea heshima Rais wa Tanzania. Afadhali ungeishia kusema tu kuwa unatamani kuwa Rais wa Tanzania (lengo kuu la kila mwanasiasa wa Tanzania). Kusema kuwa unatamani kuwa Rais ili uwafunze watu adabu ni kumkosea heshima Rais wa nchi. Ina maana kuwa Rais anaongoza watanzania/wapinzani wasio na adabu?
Ina maana kuwa Rais wa Tanzania hana uwezo wa kuwashikisha/kuwafunza adabu wananchi wake na wapinzani wake? Hii si kauli ya kiuongozi na kiungwana. Ukiwa kama Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali inayoongozwa na Rais Kikwete, na kwa staha na ustaarabu wa kisiasa, ingawa umetamka maneno hayo Bungeni, huna budi kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na maneno yako au ya aina hiyo hayapaswi kurudiwa tena.

Kuna sehemu umejijibu hapo, Rais anaongoza wapinzani wasio na adabu.
Hao wote wanaotaka kugombea urais wanautamani, mwigulu hana kosa lolote, ana haki ya kuutamani urais
UNAJARIBU KUWA MWALIMU WA KUWAFUNDISHA WENDAWAZIMU!!!!!Wapinzani nao wajithmini zaidi kwa kuangalia Muda uliobaki je,unatosha kuibomoa CCM kwa nguvu ya kususa vikao vya bajeti ambayo sio sheria au katiba isiyobadlilka kila mwaka?
Nakumbuka wakati Slaa akiwa bungeni alipata umaarufu mkubwa kwa hoja zake ndani ya bunge.
Ukweli ni kwamba CUF ina wabunge waliokomaa kisiasa kuliko Chadema na NCCR.
CCM watatawala daima kwa mtizamo huu wa wapinzani wasiotaka kujizatiti vijijni na kushirikiana na wananchi kwnye shughuli za maendeleo.
Mfano tu Tundu Lisu asiporudi jimboni kwke atapoteza lile jimbo.Wtanzania wana asili ya ujamaa kwa hiyo wakimuona mtu anakataa kushiriki kwenye kazi hata ya kuchimba msingi wa jengo la shile basi ujue huyo mtu hawezi kukubaliwa na wazee kijijini.
Chadema wanashindw kucheza na siasa za Tanzania zenye makindi makuu 6:
-Watu wa mjini
=Watu vijijini
-Watu wa dini
-Matajiri
-Maskini ambao ni mtaji wa kura
-Makabila yaliyoendelea dhidi ya makabila yaliyobaki nyuma(hawa ni walamba miguu ya viongozi)
Siasa za Mwigulu ni siasa za kijamaa na zinakubalika sana kwa wazaee wa zamani wanaoona kama uhuru umekua mkubwa sana na unatumika vibaya.
Hao wote wanaotaka kugombea urais wanautamani, mwigulu hana kosa lolote, ana haki ya kuutamani urais
Upinzani kwani wamekosa adabu gani mpaka mwigulu aseme vile? Kwa vile wametoka nje au kuna lingine wamefanya?kutoka nje ya bunge ni kukosa adabu? hiyo si ndio njia ya kuonesha kutokubaliana na jambo? si ndivyo inavyofanyika ktk mabunge mengi duniani? in fact hawa wa kwetu ni wapole sanawenzetu mbona kuzipiga ni kawaida tu! au kuna lingine wamefanya?weka dstv mkuu, huo muda mi nilikuwa namwangalia ERIC OMONDI kwenye Churchil Show
Mleta mada amevurugwa
Kuna sehemu umejijibu hapo, Rais anaongoza wapinzani wasio na adabu.