Mwigulu Nchemba, kunani!

Mwigulu Nchemba, kunani!

RECEIPT

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
284
Reaction score
198
Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?

Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.

Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.
 
  • Thanks
Reactions: yok
Kwa nini Magamba mmekariri neno "Mytake" kila uzi unaoletwa na magamba utaona wanaweka neno "Mytake" Magamba nendeni English course.
 
waziri yuko likizo ya uzazi.so lazima awepo mkuu wa wizara.MLN ndiyo mkuu kwa sasa
 
Mwigulu hana tofauti na wanaccm wengine, ni mwigulu aliyewadanganya watanzania kuwa kama maridhiano hayatapatika ndani ya wiki mbili ndani ya bunge la katiba, atashawishi bunge hilo livunjwe ama lihairishwe, sasa ni mwezi umepita na mabilioni ya watanzania yanaendelea kuteketea. Nimeamini musiwaamini wanasiasa!
 
  • Thanks
Reactions: yok
Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?

Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.

Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.
Mtu akiwa mtandaji kosa akiboronga napo kosa nyie bavicha zuri kwenu ni lipi sasa.
 
Mwigulu anafanya kazi vema wenye chuki ndiyo wanamsema ila jamaa ni mtendaji kweli.
 
Hakuna kitu hapo wanajitaidi asikike kwa sababu nikiongozi wa chama
 
Mwigulu ni kiongozi shupavu,mwenye ari na mzalendo wa kweli na chama kikiona anafaa kuwa presidential candidate basi atakuwa mgombea tunaemuhitaji kwa Tanzania ya sasa.
 
Leo yupo Igunga pamoja na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba, nadhani Ni katika mwendelezo WA ziara zake za kuelezea mafanikio ya utelezaji WA ilani ya ccm, jinsi alivyozuia upotevu WA mabilioni pale benk kuu nk.
 
Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?

Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.

Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.

Unachanganya utendaji wa mwigulu ni upi naibu katibu mkuu au naibu waziri wa fedha
 
Hakuna kitu hapo wanajitaidi asikike kwa sababu nikiongozi wa chama

Na wewe si mtangaze wa kwako kama unaona comrade Mwigulu hastahili.Vijana tuache wivu wa kike
 
Kama anafanya kazi shida ni nini?....urais ni kazi ya kugombania kama anaigombania, mwache aigombanie.
 
Alikua wapi miaka kumi inamalizika ndo unaona sasa hivi anachapa kazi kweli watz nishort minded
 
Kwa nini Magamba mmekariri neno "Mytake" kila uzi unaoletwa na magamba utaona wanaweka neno "Mytake" Magamba nendeni English course.

Kweli waende english course, maana mtu anaandika "my take" utadhani hayo maneno mengine yaliyotangulia aliyaquote kwingine, kumbe ni yake sasa my take inaingiaje hapo
 
Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?

Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.

Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.

naskia mkuya anaumwa
 
Shukrani ya punda ni mateke, hata ukiwabeba mgongoni watakung'ata tu. Hivyo tulio na uwezo wa kutambua uwezo na ubora wa kiongozi kwa anayoyafanya na kumtia moyo bila ya kuchunguza anafanya kwa sababu ya nin kwani sisi tunachohitaji ni utekelezaji wa majukumu.
 
ukimsikia kauli zake kwa kweli anatia moyo kuwa kuna mtu anaweza kuleta mabadiliko chanya, ila tatizo chama loo !
 
Back
Top Bottom