Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"
alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
Hawa jamaa wote hamnazo kweli, yaani wapo wapo, bora wasira anapangaga hoja uchwara lakini anaeleweka kuliko hawa hayawani wanotoa upepo wa masaburiEbu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"
alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
Ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
Dah! Huyu akili zake hutumia muda wa kutöngoza wake za watu.
Alikuwa akihojiwa na chombo gani ndiyo akayasema hayo?????
lazma awehuke mana mtu mwenyewe analala na njemba 4..... Alisema mwenyeweifikie mahali watu wengine tuwapuuze, tutapoteza muda kujadili vitu visivyo na maana.
Ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu