Hivi inakuwaje mapato yako kwa mwezi ni Tsh 100,000 lakini matumizi yako kwa mwezi ni 200,000??
Hii ndiyo Tanzania ya ccm, Mapato ya ndani kwa mwezi Trillion 8 matumizi Trillion 10. Tunaishi kwa kukopa mpaka kwenye matumizi yatu ya ndani.
Hata uwe na uwezo mdogo kiasi gani wa kupambanua mambo huwezi kushiba kiasi kwamba ukasahau kuona huu upunguani wa chama tawala, CCM wapi mnatupeleka?? Shame on you.