Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

Sasa si wangegoma kutoa misaada cuz ni hela zao tunazozitegemea ukiacha pombe, soda na sigara..........huyu anamtazamo wa kale kwamba watanzania ni wajinga hivyo unaweza kuwadanganya utakavyo......wenyewe walipitisha azimio la kuwa bajeti ya maendeleo iwe 35% then wanakumbushwa hilo wanabwabwaja huu ulevi wa vyama huu ni kati ya ulevi mmbaya sana bora wangelewa pombe wasaidie bajeti na pato la taifa
 
Jamani Nimerudi Tena.. Habari za Siku nyingi...

Imenishtusha sana hii kauli ya Vyama vya upinzani kupata suport kutoka nchi za Maghalibi, ambayo imetolewa na huyu Muigulu Nchemba.. Inawezekana yeye anayo Source na kama hana Source kwanini asifurumushwe huko Bungeni kwa kutoa Taarifa ya uongo kwa kuwadanganya Wabunge wenzake, Mawaziri, Waziri Mkuu, Raisi, na Watanzania kwa ujumla, maana Bunge halisikilizwi na mtu mmoja kama upeo wake wa kufikiri unavyo mtuma..

Na nimesikia Eti yeye ni Mchumi, sasa hivi kweli Watanzania tukae kumtegemea mchumi kama huyu jamani tutajivunia nini kutoka kwake kama Leo hii anaropoka tu bungeni kama hivyo..
Anatakiwa akajipange...



TAFADHALI NILINK IPI NZURI NAWEZA GONGA KISHA KUPATA VIKAO VYA BUNGE LIVE KUPITA MTANDAO,, MSAADA JAMANI
 
ccm na serkari yao hawana jipya, rasilimali zetu zote zimo mikononi mwa wazungu wa magharibi na sasa wameanza kuchukua ardhi, vyote hivyo wamepewa na ccm na serikali yao chini ya kiongozi wao dhaifu. Sasa anasema wapinzani wamepewa pesa ili wawawruhusu waje wachukue raslimali, huu ni ujuha wa viongozi wa ccm na serikari yao.
 
ciciem wanatapa tapa balaaa...huko magharibi ndio kila siku MUKULU anaruka na lidege lake sasa anasema nini hapa
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imefirisika sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga

Mkuu huyu jamaa si mzima, eti alipata A alipokuwa anasoma masters, hii takataka imetutea wapi? uchumi aliosoma ndo unamsaidia kupambanua mambo hivyo! hakya Mungu, yani wameiibia nchi sasa anaanza kuisingizia cdm. Kweli hawa watu wapimwe akili
 
Tangu lini Mwigulu akawa 'msomi'? Ukiniambia ni 'msomaji' nitakuelewa.


msomi anapotoa maneno kama mtu ambaye hajawi kuhudhuria shule, ni ujasiri pekee kwa wanachama wa CCM. Nchemba katapika hayo wakati wao ndo waongoza harakati za kuuza nchi, nape naye alisema uchumi wa tanzania unakuwa haraka kuzidi wa India. haya matapishi yanawezekana tu kwa wasomi wa CCM, mchungaji msigwa hakukosea kusema profesa anavyoongea akiwa ndani ya CCM, huwezi mtofautisha na mtu ambaye hajawahi kufika shule kabisa.

lakini ninalo taraji moja kuwa 2015, our freedom at hand, tena nawaona wanachelesha kuupdate daftari la mpiga kura
 
Hivi Nchema masters yake ya First class aliipatia wapi vilee? Nahisi ni zile za kununua kwa wahadhiri kama wafanyavo vigogo na familia zao maana msomi kamili hawezi kuongea uporojo wa namna hii for sure.
 
Mbona CHADEMA ilishanunuliwa na chama cha Kameruni miaka mingi tu.
Wajijue watarudishaje fedha za hao watu, nothing is for free.
Na Kameruni anafahamika kwa ukameruni wake! Wasituingize watanzania katika mambo ya kijinga.
wewe pia ni dhaifi kama serikali na mwenyekiti wa nyinyiemu,usituletee upuuzi wako hapa.kati ya ccm na chadema nani aliyenunuliwa???,na bado,hao wote mafisadi wenu mambo yakiwa magumu wataenda kwa kameruni kujiuza tu.pia huyo mwigulu sijui mdudu gani,tayari kashachanganyikiwa,wanataka kutumia uongo kupoteza uma ili waendelee kuiba.huyo jamaa alikuwa anatega uwaziri au unaibu,sasa wamembwaga anajaribu awamu ya nyingine.
 
Duh naona CCM wanatafuta nguvu ya wananchi(support) kwa gharama yoyote, kudanganya n.k
 
wewe pia ni dhaifi kama serikali na mwenyekiti wa nyinyiemu,usituletee upuuzi wako hapa.kati ya ccm na chadema nani aliyenunuliwa???,na bado,hao wote mafisadi wenu mambo yakiwa magumu wataenda kwa kameruni kujiuza tu.pia huyo mwigulu sijui mdudu gani,tayari kashachanganyikiwa,wanataka kutumia uongo kupoteza uma ili waendelee kuiba.huyo jamaa alikuwa anatega uwaziri au unaibu,sasa wamembwaga anajaribu awamu ya nyingine.
Huna point na unajiuma uma ulimi kwa vile umekosa lishe ya CCM, CHADEMA itawakondesha,shauri lako!
 
Hyu jamaa anatukana wakunga angali uzazi ungalipo. Hayo mataifa ya Magharibi anayoyasagia si ndiyo wanashinda huko kuomba msaada asilimia 47% ya mapato ambayo wameshayapangia bajeti? (Ref. mapato ya ndani ni Trilion 8 kati ya 15 zilizopigiwa bajeti). Akumbuke pia, mabalozi wa nchi hizo wapo pia hapa nnchini, hivyo anaweza kupelekea kuwa na mahusiano mabaya na mataifa hayo. Nashauri hawa CDM wawakomalie evidence na kuyahusisha hayo mataifa wanayoyasemea. kwanza ni yapi hayooo, au ndiyo ile first class yako ya propaganda?
 
Bajeti ya serikali ya ccm ni bajeti tegemezi toka mataifa ya magharibi. Anachoongea mpumbavu huyu ni sawa na kukataa kivuli chake mwenyewe. madini yetu yanachukuliwa mchana kweupe na hayo mataifa ya magharibi mbele ya ccm.
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imefirisika sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga
Huyu Mwigulu hajajua Watanzania wanataka nini, bado ana ndoto za chama kimoja kushika hatamu!! Hivi Bwn Mwigulu anaishi nchi gani, haoni shida walizonazo Watanzania!! Yeye bado anafikiri nchi hii ni mali ya mjomba CCM basi, analotaka ndilo lifanyike asiulizwe??? USA Budget ya Rais Obama marangapi inakataliwa hadi akubaliane na mambo wanayotaka wabunge, au awa convince wamuelewe na serikali yake, hiyo ndio demokrasi!! Kina Mwigulu wakoje kweli huyu jamaa ana akili timamu??? Die hard CCM fanatic, piga ua CCM mpaka kaburini, angojee 2015 majibu mbona atayapata!!!!!

 
​shulu shule muhimu sana ndio matatizo ya kuchangia bila kujua unafanya nini rudi kwenu kijijini ukavune magimbi huna hoja kapuku
 
Huko magharibi ndiko barazani kwa JK ameishi zaidi huko kuliko ofisini kwake ndiko anakopeleka dhahabu yetu na kuleta vyandarua vyenye matundu yenye uwezo wa kupenyeza mdudu na kumaliza samaki wetu, sasa hapa nchemba anamsema bosi wake au? ama kweli kukataliwa kubaya ccm wanachanganyikiwa na hali halisi ya upepo wa kisiasa.
Ndugu yangu si nasikia watu wakianza kuathirika akili inawaruka au vipi???? Huyu Bwn Mwigulu kutokana na tabia zake za kudandia wake za watu nina mashaka yuko katika hali ya hatari!!!! CCM wakiendelea kumtumia kwenye propoganda zao itawagarimu vibaya, tusubiri tuone!!!

 
Mimi sitegemei maendeleo ya kweli kwa CCMiliyojaa akina mwigulu. Namfahamu Mwigulu sana. Zaidi ya Uzizi, pale BOT pamoja na kusema yeye ni mchumi wa daraja la kwanza alikuwa mkusanya data tu. Uandishi kwake kitendawili na hata mabosi wake walikuwa wanashangaa aliwezaje kufaulu. Nashangaa anaposema yeye ni mchumi first class. Udhaifu wake na basi wake ndio uliyomfanya ahamishiwe Arusha Branch akaendelee na kukusanya data field. Makao alikuwa hapawezi.
 
Mbona CHADEMA ilishanunuliwa na chama cha Kameruni miaka mingi tu.
Wajijue watarudishaje fedha za hao watu, nothing is for free.
Na Kameruni anafahamika kwa ukameruni wake! Wasituingize watanzania katika mambo ya kijinga.

Sasa Chadema inaingiaje katika hili mkuu?.
 
Back
Top Bottom