ww ndio pimbi, hadi ujinyonge kwa mboko za mwigulu
Msiniharibie swaumu nyie vijana '''''!!! Mwigulu hafai anaharibu Cccm yetu ''! Hakuna chama kama Cccm

ni kama namuona mussa tesha akimwagiwa tindikali na henry kilewo na wenzake, kama namuona msaki akipangiwa mipango ya kulishwa sumu na lwakatare na wenzake, ni kama naona kauli hatari za nchi haitotawalika kutoka kwa slaa, kaskazini ijitenge kutoka kutoka kwa nassari na tutaingia msituni kutoka kwa lema
kwani umeambiwa anatafta mke?

kala siku nawaambia kwamba,ccm hapa Arusha Hawafurukuti kwa chadema na kama bado hamjaamini subirini uchaguzi wa diwani mmoja uliobaki lazima ccm iingie hasara nyingineNAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo.
Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM) aliyasema hayo jana asubuhi alipokuwa akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Passion kinachorusha matangazo yake jijini Dar es Salaam kuhusu mambo mbalimbali yaliyolihusu taifa.
Alisema chama tawala kimepata funzo kupitia chaguzi hizo na ikiwamo Watanzania kutopenda kupiga kura katika mazingira hatarishi.
Kwa hilo tunawapongeza wameshinda, ninachoweza kusema sisi tumeondoka tu na mafunzo kwenye eneo lile kwamba Watanzania hawapendi mazingira hatarishi ya kupiga kura, alisema.
Alisema kuwa Watanzania wasifurahie ushindi peke yake, bali wanapaswa kuangalia waliotakiwa kupiga kura ni wangapi na wangapi waliojitokeza, kwa kuwa katika uchaguzi wa Jiji la Arusha wapiga kura walikuwa wachache.
Alisisitiza kwamba angeweza kusema hilo ni anguko kubwa katika kata hizo endapo kata hizo zilikuwa ni za CCM halafu watu wote au zaidi ya asilimia 75 wakajitokeza kupiga kura.
Uundaji wa vikosi kwenye vyama
Katika hilo, Mwigulu alikiri kwamba Green Guard ipo siku nyingi na hata hayo mazoezi hufanywa kwa ajili ya halaiki, kwa sababu kila mwaka CCM huwa na maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chao.
Utaona hata picha wanazoweka, moja ilikuwa halaiki ya Kigoma ya juzi, nyingine ya Mwanza miaka 36, kwa hiyo ni halaiki na si kikosi cha mapigano, alisema Mwigulu.
Alijitetea kwamba kinachotofautisha ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, inaonekana kwamba wao (CCM) wanawaonea kijicho, lakini kilichopo ni malengo ya vikosi hivyo.
Wao wanataka kuanzisha kikosi cha kujilinda, ambacho hakitakuwa kikitegemea polisi wala Jeshi la Wananchi, kwahiyo wewe hutegemei polisi na wala hutegemei Jeshi la Wananchi, hiyo umeenda kinyume cha Katiba ya nchi, kwa sababu hairuhusiwi kuanzisha jeshi lako, alisema Mwigulu.
Hongera sana mwigulu kwa kazi nzuri unayofanya kwa taifa hili.
Hapo penye red.Tunashukuru kama chama tawala kimeliona hilo na kama ni kweli tunategemea kuona utekelezaji kwa vitendo,watu hawataki vurugu,na chanzo cha vurugu mara nyingi ni polisi pale wanapoingilia mambo ya kisiasa kwa maslahi ya chama kimojawapo.Vyombo vya dola vifanye kazi ya kulinda raia na siyo kujiami dhidi ya raia ambao huonekana wapole na watiifu kabla ya kufanyiwa fujo.Mimi nilidhani Chama tawala kilipata funzo uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo takribani watu 20000000 walijiandikisha lakini wakapiga kura watu takribani 8000000,hili lilikuwa funzo kwamba serikali lazima itengeneze mazingira ya amani kwenye siasa ili watu waweze kuwapata viongozi wa kuwaongoza kwa amani.NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo.
Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM) aliyasema hayo jana asubuhi alipokuwa akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Passion kinachorusha matangazo yake jijini Dar es Salaam kuhusu mambo mbalimbali yaliyolihusu taifa.
Alisema chama tawala kimepata funzo kupitia chaguzi hizo na ikiwamo Watanzania kutopenda kupiga kura katika mazingira hatarishi.
Kwa hilo tunawapongeza wameshinda, ninachoweza kusema sisi tumeondoka tu na mafunzo kwenye eneo lile kwamba Watanzania hawapendi mazingira hatarishi ya kupiga kura, alisema.
Alisema kuwa Watanzania wasifurahie ushindi peke yake, bali wanapaswa kuangalia waliotakiwa kupiga kura ni wangapi na wangapi waliojitokeza, kwa kuwa katika uchaguzi wa Jiji la Arusha wapiga kura walikuwa wachache.
Alisisitiza kwamba angeweza kusema hilo ni anguko kubwa katika kata hizo endapo kata hizo zilikuwa ni za CCM halafu watu wote au zaidi ya asilimia 75 wakajitokeza kupiga kura.
Uundaji wa vikosi kwenye vyama
Katika hilo, Mwigulu alikiri kwamba Green Guard ipo siku nyingi na hata hayo mazoezi hufanywa kwa ajili ya halaiki, kwa sababu kila mwaka CCM huwa na maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chao.
Utaona hata picha wanazoweka, moja ilikuwa halaiki ya Kigoma ya juzi, nyingine ya Mwanza miaka 36, kwa hiyo ni halaiki na si kikosi cha mapigano, alisema Mwigulu.
Alijitetea kwamba kinachotofautisha ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, inaonekana kwamba wao (CCM) wanawaonea kijicho, lakini kilichopo ni malengo ya vikosi hivyo.
Wao wanataka kuanzisha kikosi cha kujilinda, ambacho hakitakuwa kikitegemea polisi wala Jeshi la Wananchi, kwahiyo wewe hutegemei polisi na wala hutegemei Jeshi la Wananchi, hiyo umeenda kinyume cha Katiba ya nchi, kwa sababu hairuhusiwi kuanzisha jeshi lako, alisema Mwigulu.
Hahahaaaaa, at least mimi si muuaji kama yeye aliye na laana za roho za watu wasio na hatiaww ndio pimbi, hadi ujinyonge kwa mboko za mwigulu
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo.