Mwigulu Nchemba atoa pongezi kwa spidi ya CHADEMA

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo.

Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM) aliyasema hayo jana asubuhi alipokuwa akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Passion kinachorusha matangazo yake jijini Dar es Salaam kuhusu mambo mbalimbali yaliyolihusu taifa.

Alisema chama tawala kimepata funzo kupitia chaguzi hizo na ikiwamo Watanzania kutopenda kupiga kura katika mazingira hatarishi.

"Kwa hilo tunawapongeza wameshinda, ninachoweza kusema sisi tumeondoka tu na mafunzo kwenye eneo lile kwamba Watanzania hawapendi mazingira hatarishi ya kupiga kura," alisema.

Alisema kuwa Watanzania wasifurahie ushindi peke yake, bali wanapaswa kuangalia waliotakiwa kupiga kura ni wangapi na wangapi waliojitokeza, kwa kuwa katika uchaguzi wa Jiji la Arusha wapiga kura walikuwa wachache.

Alisisitiza kwamba angeweza kusema hilo ni anguko kubwa katika kata hizo endapo kata hizo zilikuwa ni za CCM halafu watu wote au zaidi ya asilimia 75 wakajitokeza kupiga kura.

Uundaji wa vikosi kwenye vyama
Katika hilo, Mwigulu alikiri kwamba Green Guard ipo siku nyingi na hata hayo mazoezi hufanywa kwa ajili ya halaiki, kwa sababu kila mwaka CCM huwa na maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chao.

"Utaona hata picha wanazoweka, moja ilikuwa halaiki ya Kigoma ya juzi, nyingine ya Mwanza miaka 36, kwa hiyo ni halaiki na si kikosi cha mapigano," alisema Mwigulu.

Alijitetea kwamba kinachotofautisha ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, inaonekana kwamba wao (CCM) wanawaonea kijicho, lakini kilichopo ni malengo ya vikosi hivyo.

"Wao wanataka kuanzisha kikosi cha kujilinda, ambacho hakitakuwa kikitegemea polisi wala Jeshi la Wananchi, kwahiyo wewe hutegemei polisi na wala hutegemei Jeshi la Wananchi, hiyo umeenda kinyume cha Katiba ya nchi, kwa sababu hairuhusiwi kuanzisha jeshi lako," alisema Mwigulu.
 
Sawa Mkuu mi nimependa zaidi tu hapo kwenye ufafanuzi kuhusu Green Gurd,lakini huko kwenye kushindwa anajitetea ugoro tu,kwa sababu ushindi ni ushindi tu iwe kuna njama,kuna uhuni,kuna aina yoyote ile isiyokuwa ya kistaarabu lakini watu wameshinda,yeye ajipange tu upya kwenye hilo hakuna cha kujitetea.
 
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo.
Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM) aliyasema hayo jana asubuhi alipokuwa akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Passion kinachorusha matangazo yake jijini Dar es Salaam kuhusu mambo mbalimbali yaliyolihusu taifa.
Alisema chama tawala kimepata funzo kupitia chaguzi hizo na ikiwamo Watanzania kutopenda kupiga kura katika mazingira hatarishi.
“Kwa hilo tunawapongeza wameshinda, ninachoweza kusema sisi tumeondoka tu na mafunzo kwenye eneo lile kwamba Watanzania hawapendi mazingira hatarishi ya kupiga kura,” alisema.
Alisema kuwa Watanzania wasifurahie ushindi peke yake, bali wanapaswa kuangalia waliotakiwa kupiga kura ni wangapi na wangapi waliojitokeza, kwa kuwa katika uchaguzi wa Jiji la Arusha wapiga kura walikuwa wachache.
Alisisitiza kwamba angeweza kusema hilo ni anguko kubwa katika kata hizo endapo kata hizo zilikuwa ni za CCM halafu watu wote au zaidi ya asilimia 75 wakajitokeza kupiga kura.
Uundaji wa vikosi kwenye vyama
Katika hilo, Mwigulu alikiri kwamba Green Guard ipo siku nyingi na hata hayo mazoezi hufanywa kwa ajili ya halaiki, kwa sababu kila mwaka CCM huwa na maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chao.
“Utaona hata picha wanazoweka, moja ilikuwa halaiki ya Kigoma ya juzi, nyingine ya Mwanza miaka 36, kwa hiyo ni halaiki na si kikosi cha mapigano,” alisema Mwigulu.
Alijitetea kwamba kinachotofautisha ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, inaonekana kwamba wao (CCM) wanawaonea kijicho, lakini kilichopo ni malengo ya vikosi hivyo.
“Wao wanataka kuanzisha kikosi cha kujilinda, ambacho hakitakuwa kikitegemea polisi wala Jeshi la Wananchi, kwahiyo wewe hutegemei polisi na wala hutegemei Jeshi la Wananchi, hiyo umeenda kinyume cha Katiba ya nchi, kwa sababu hairuhusiwi kuanzisha jeshi lako,” alisema Mwigulu.

Neno Ushindi ni spidi????????
 
Mwigulu(CCM) tatizo.
Utegemee Jeshi la CCM wakati mimi ni Mpinzani inawezekana????
 
Mwigulu Nchemba ndo uliye haribu ccm
mimi ningekuwa mwenyekiti wa ccm
ningefanya ka research kadogo tu
kwa kuanzia hapa Jf unaweza kujua nini kinachoendelea kwenye chama
dunia ya sasa sio ya zamani Mwigulu
watu wa Arusha ulitutisha sana kwa mabomu ila ona ulivyoangukia pua
hela uligawa nyingi hata ndugu zangu wameposti kwenye face book mlivyokuwa mnawagawia hela
Umenunua shahada nyingi mno
hela zote ni za walala hoi walipa kodi kwenye nchi hii
 
Hongera sana mwigulu kwa kazi nzuri unayofanya kwa taifa hili.
 
Pongezi...from Mwigulu...so what!

Ni kama namuona Kamanda Msafiri Mbwambo na jeraha la msumeno mkali wa umeme, nyuma ya shingo...namuona Kamanda kijana Mbwana Masoud akiwa amekufa kifo cha mateso baada ya kutekwa na kupotea siku kadhaa huko Igunga, ni kama namuona kijana Ally Zona na jeraha la kitu kizito kilichorushwa na polisi pale Morogoro. Namkumbuka kijana yule wa CCM, pale Ndago, Yohana Mpinga...

Namuona Kamanda Judith William pumzi imeshamtoka baada ya kulipukiwa bomu pale Soweto, namuona kijana Juma Ramadhan naye pia akiwa amekatiliwa maisha yake pale pale...namuona yule mtoto mdogo wa kike aliyekuwa anajivuta vuta kwenye dimbwi la damu, akijaribu kusimama, hawezi. Hajui nini kimetokea. Hajui amenusurika kufa kwa bomu. Namuona Gabi, nawaona watoto maskini wa Mungu waliokufa baadae baada ya mateso makali wakiwa ICU. Walikuwa wakitokea madrasa. Nawaona majeruhi wote...aaaggh.

Eti mtu ambaye hakuweza hata kutoa pole na kushiriki katika tukio na msiba mzito ule, leo anatoa hongera ya ushindi

Ni kama nayaona matukio mengi mengi yanayofanana, mengine yakihusisha viongozi wa makundi ya kijamii...
!

Waliomuua Kamanda Mbwambo, ilibainika wanatoka au walikamatiwa Singida. Baada ya silaha zilizotumika kukutwa nyumbani kwa kiongozi wa CCM. Eti baadae wakatoroka mbele ya askari polisi wenye silaha...wakiwa na pingunmikononi na kama haitoshi, wakamnyang'anya bunduki mmoja wa askari waliokuwa wakiwalinda pale mahakamani Arusha.

Muda wote huo polisi wengine walikuwa wakifuatilia kwa makini movie ile. Wakifaudu kilichokuwa kinaendelea. Kuonesha ukali wa movie, bunduki ya polisi ikaokotwa muda mfupi baadae, ikiwa imetelekezwa (kuwekwa?) mahali palipokuwa pakijulikana na 'wacheza' movie.

Na ili kuonesha movie hii itaendelezwa part II ili wahusika wauze vizuri kama ilivyo kwa waigizaji wengi wa kibongo siku hizi, hadi leo watuhumiwa hao wa mauaji hawajawahi kupatikana na uchunguzi bila shaka unaendelea.

Inaumiza. Ngoja niishie hapa.

Green Guard

Hivi kama anaweza kuwadanganya waandishi wa habari (ofcoz baadhi) mchana kweupe kwenye issue iliyo na ushahidi kama hii, inakuwaje kwa wananchi wa kawaida. Haya arudi studio ajibu na haya...

Cheti cha wahitimu wa Green Guard

Na hiki ni kitabu kinachozungumzia namna wanavyoandaliwa kupiga wapinzani
 
Uchaguzi umepita sasa tufanye kazi. Machadema yanavyopenda migogoro saivi yanapanga mgogoro ili usaidie kuwatangaza kwa kuuza sura
 
attachment.php

attachment.php
 
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo.
Mwigulu ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM) aliyasema hayo jana asubuhi alipokuwa akihojiwa kupitia kituo cha Radio cha Passion kinachorusha matangazo yake jijini Dar es Salaam kuhusu mambo mbalimbali yaliyolihusu taifa.
Alisema chama tawala kimepata funzo kupitia chaguzi hizo na ikiwamo Watanzania kutopenda kupiga kura katika mazingira hatarishi.
"Kwa hilo tunawapongeza wameshinda, ninachoweza kusema sisi tumeondoka tu na mafunzo kwenye eneo lile kwamba Watanzania hawapendi mazingira hatarishi ya kupiga kura," alisema.
Alisema kuwa Watanzania wasifurahie ushindi peke yake, bali wanapaswa kuangalia waliotakiwa kupiga kura ni wangapi na wangapi waliojitokeza, kwa kuwa katika uchaguzi wa Jiji la Arusha wapiga kura walikuwa wachache.
Alisisitiza kwamba angeweza kusema hilo ni anguko kubwa katika kata hizo endapo kata hizo zilikuwa ni za CCM halafu watu wote au zaidi ya asilimia 75 wakajitokeza kupiga kura.
Uundaji wa vikosi kwenye vyama
Katika hilo, Mwigulu alikiri kwamba Green Guard ipo siku nyingi na hata hayo mazoezi hufanywa kwa ajili ya halaiki, kwa sababu kila mwaka CCM huwa na maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chao.
"Utaona hata picha wanazoweka, moja ilikuwa halaiki ya Kigoma ya juzi, nyingine ya Mwanza miaka 36, kwa hiyo ni halaiki na si kikosi cha mapigano," alisema Mwigulu.
Alijitetea kwamba kinachotofautisha ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, inaonekana kwamba wao (CCM) wanawaonea kijicho, lakini kilichopo ni malengo ya vikosi hivyo.
"Wao wanataka kuanzisha kikosi cha kujilinda, ambacho hakitakuwa kikitegemea polisi wala Jeshi la Wananchi, kwahiyo wewe hutegemei polisi na wala hutegemei Jeshi la Wananchi, hiyo umeenda kinyume cha Katiba ya nchi, kwa sababu hairuhusiwi kuanzisha jeshi lako," alisema Mwigulu.
Acheni kumpa promo huyu pimbi
 
Jama haya maredio ya sikuhizi nayo yamekosa watu wa kuhojiana nao mpaka yana karibisha masavimbi . Hili jamaa halina haya wala soni, lili kuwa linajigamba kwamba lazima Arusha lita chukua kata zote sasa mbona limeangukia pua? Na wale wapambe wake wako wapi?.
 
Pongezi...from Mwigulu...so what!

Ni kama namuona Kamanda Msafiri Mbwambo na jeraha la msumeno mkali wa umeme, nyuma ya shingo...namuona Kamanda kijana Mbwana Masoud akiwa amekufa kifo cha mateso baada ya kutekwa na kupotea siku kadhaa huko Igunga, ni kama namuona kijana Ally Zona na jeraha la kitu kizito kilichorushwa na polisi pale Morogoro. Namkumbuka kijana yule wa CCM, pale Ndago, Yohana Mpinga...

Namuona Kamanda Judith William pumzi imeshamtoka baada ya kulipukiwa bomu pale Soweto, namuona kijana Juma Ramadhan naye pia akiwa amekatiliwa maisha yake pale pale...namuona yule mtoto mdogo wa kike aliyekuwa anajivuta vuta kwenye dimbwi la damu, akijaribu kusimama, hawezi. Hajui nini kimetokea. Hajui amenusurika kufa kwa bomu. Namuona Gabi, nawaona watoto maskini wa Mungu waliokufa baadae baada ya mateso makali wakiwa ICU. Walikuwa wakitokea madrasa. Nawaona majeruhi wote...aaaggh.

Eti mtu ambaye hakuweza hata kutoa pole na kushiriki katika tukio na msiba mzito ule, leo anatoa hongera ya ushindi

Ni kama nayaona matukio mengi mengi yanayofanana, mengine yakihusisha viongozi wa makundi ya kijamii...
!

Waliomuua Kamanda Mbwambo, ilibainika wanatoka au walikamatiwa Singida. Baada ya silaha zilizotumika kukutwa nyumbani kwa kiongozi wa CCM. Eti baadae wakatoroka mbele ya askari polisi wenye silaha...wakiwa na pingunmikononi na kama haitoshi, wakamnyang'anya bunduki mmoja wa askari waliokuwa wakiwalinda pale mahakamani Arusha.

Muda wote huo polisi wengine walikuwa wakifuatilia kwa makini movie ile. Wakifaudu kilichokuwa kinaendelea. Kuonesha ukali wa movie, bunduki ya polisi ikaokotwa muda mfupi baadae, ikiwa imetelekezwa (kuwekwa?) mahali palipokuwa pakijulikana na 'wacheza' movie.

Na ili kuonesha movie hii itaendelezwa part II ili wahusika wauze vizuri kama ilivyo kwa waigizaji wengi wa kibongo siku hizi, hadi leo watuhumiwa hao wa mauaji hawajawahi kupatikana na uchunguzi bila shaka unaendelea.

Inaumiza. Ngoja niishie hapa.

Green Guard

Hivi kama anaweza kuwadanganya waandishi wa habari (ofcoz baadhi) mchana kweupe kwenye issue iliyo na ushahidi kama hii, inakuwaje kwa wananchi wa kawaida. Haya arudi studio ajibu na haya...

Cheti cha wahitimu wa Green Guard

Na hiki ni kitabu kinachozungumzia namna wanavyoandaliwa kupiga wapinzani

ni kama namuona mussa tesha akimwagiwa tindikali na henry kilewo na wenzake, kama namuona msaki akipangiwa mipango ya kulishwa sumu na lwakatare na wenzake, ni kama naona kauli hatari za nchi haitotawalika kutoka kwa slaa, kaskazini ijitenge kutoka kutoka kwa nassari na tutaingia msituni kutoka kwa lema
 
Back
Top Bottom