Hilo bango nililiona juzi wakati nakuja moshi nikitokea mwanza mitaa ya karibu na shelui hakika nilikwazika sana maana jamaa simpendi kaa nn
huyu jamaa nilikuwa cmpendi zamani lakini sasa i am trusting him, maana kajirekebisha na anaonekana ni mtu anaeza leta changes kulikuwa kuliko wote walioko ndani ya ccm. i am sure huyu jamaa atamdondosho lowasa.

Dah........hayo maandishi yangeandikwa Lowasa 2015 lazima Mangula angeitisha kikao lumumba fasta........mwaka huu tutajionea mengi.
Mwigulua aje akanushe!