PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Huyu ni waziri hatujui hiyo ziara yake kama ni kikazi, kichama, au ni mambo yake binafsi ya kusaka uraisi.
Yotekwa yote atueleza amepatawapi hela, kwasababu hatujawahi kuona nyerere,sokoine wala mrema wakifanya ziara kwa helcopta iwe ya kichama,kikazi au binafsi.