Mwigulu Nchemba,aliemnyooshea Nape bastola amekamatwa?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,324
152,136
Mh.naomba utupe feedback juu ya agizo lako la kutaka mtu aliemnyoohea Nape bastola akamatwa na kuhojiwa kutokana na kitendo kile.

Sitarajii ingechukua hata masaa kumkamata na kumuhoji huyo mhusika.
 
Waliomtuma watakuwa wamemtowesha ili aepuke mkono wa sheria...

Nadhani walipanga mwisho mchezo utaisha vipi..

Na ndo umiesha hivyo. Sterling katoweka
Tatizo na sisi tunaenda na matukio.Tukio likipita hakuna anaehoji tunaendelea na matukio mengine.
 
Mh.naomba utupe feedback juu ya agizo lako la kutaka mtu aliemnyoohea Nape bastola akamatwa na kuhojiwa kutokana na kitendo kile.

Sitarajii ingechukua hata masaa kumkamata na kumuhoji huyo mhusika.
....sawa na kusubiri nyani ajenge nyumba ya ghorofa ... Soon utasikia kuwa amepanda Cheo maana ameweza kuwatisha wale wote ambao walifikiri kuwa wamekitumikia sana chama na kuwa hawatishwi ... Jamaa ameweza kuchora mstari kuwa hapa hakuna cha kamarade kinana wala cha Jk , Mwenye nchi ni mmoja tu na lazima mumsikilize kwa njia zote za fahamu ... Salute kwa Mkuu wa Kaya ...
 
Mh.naomba utupe feedback juu ya agizo lako la kutaka mtu aliemnyoohea Nape bastola akamatwa na kuhojiwa kutokana na kitendo kile.

Sitarajii ingechukua hata masaa kumkamata na kumuhoji huyo mhusika.
Si mlimsifia kwa tamko lake sasa mnaulizana nini tena wanafiki nyie wewe na Mwigulu wako.
Jamii forums ilivamiwa na mabunduki computer zilichukuliwa na Max kakaa ndani wiki mbili,hatukumsikia Mwigulu kutoa tamko wala huyo shujaa wenu Napelepe kutembelea Jamii Forums
 
Yeye mbona hakukamatwa alipokuwa anawafanyia unyama upinzani , anajua ndio michezo yao hakuna kitakachotokea hayo ni maigizo tu.
 
Ametokomea ndani ya jeshi la polisi hawamjui ni nani! Really!? Usanii mbele kwa mbele.
Cha ajabu kina Lissu wanakamatwa Bungeni utazani wameua na kusafirishwa kutoka Dodoma hadi Dar ili hali hao wanaotishia watu na bastola wanaachwa wanadunda mtaani.
 
hawezi kuja kusema juu ya hilo,akiwa muwazi na kufanya press conference atatumbuliwa,kwa mitazamo yao ukiwa muwazi unakiuka maadili ya utendaji na ukiwa msiri na mbabaishaji ndio unakuwa mtendaji bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom