Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

Mwigulu Nchemba akisaidia kulea mtoto

mbona skaaafuu hajavaa, sio nchemba huyu ..........
 
Mbona hajavua sidiria tukaonaga anavyonyonyesha
 
hehhee watu wanachuki kutoka moyoni ..kisa ushindani wa kisisa .
hii pocha mkuna mtu akiiona ... anasikia kutapika pasipo sababu ..

Kiukweli Mandela hapa haina haja ya kuwa mfuasi ama kutokuwa mfuasi, mimi binafsi sijaona mantiki ya kuleta hii picha hapa. Anasaidia kulea mtoto wake, then what? Au kuna kitu/maneno ulitarajia watu waandike hapa ufurahi? Siasa ni siasa na maisha binafsi ya mtu ni maisha yake. Sisi sarakasi na vitimbi tunam-challenge huko kwenye sphere ya siasa na uongozi lakini maisha yake binafsi kama haya ni non of our business mkuu.

Unasema kuna watu wakiiona wanatu wakiiona wanatamani kutapika...ya nini...wewe ndo kichefuchefu chao hao wanaotaka kutapika. Badala ya kujibu maswali uliyoulizwa unashushua watu, we vp?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuwa sahihi kwa sababu najua familia yake ipo Dar es salaam na ninavoiju Dar es salaam na joto lake huwezi jifunika blanket tena kama hilo hapo kwenye picha maana yanaform joto sana mablanket

Icho chumba full ac
 
Nimempenda mtoto,kamfanana ile mbaya hakuna cha DNA test,Keep it up Mwigulu
 
hehhee watu wanachuki kutoka moyoni ..kisa ushindani wa kisisa .
hii pocha mkuna mtu akiiona ... anasikia kutapika pasipo sababu ..

Kweli hizi chuki aisee,ila picha haina tatizo sema tu watu wana chuki za siasa
 
Jamani hata kama tunajua mapungufu ya mwigulu, ok lakini mambo mengine ni yakwake binafsi kwani kulea mtoto wake ina ubaya gani ktk jamii? Tunacho mchukia mwigulu ni matendo yake hasa upande wa siasa za chuki, lakini kama yupo nyumbani mwacheni awajibike
 
Uongozi unaanzia kwenye ngazi ya familia, pamoja na majukumu uliyonayo ya kitaifa lakini bado umeweza kumsaidia mkeo katika malezi ya watoto.

Tuna imani kubwa nawe, hata majukumu makubwa ya nchi utayaweza.Mungu akuongoze kwenye safari yako ya kuelekea jengo jeupe.

Wenzetu UKAWA wanafanya ujinga hata mbele za watoto wao.
Mbowe2.jpg
 
Charity begins at home au si sawa ?

Kumlisha mtoto wako (si uhakika kama ni wake) ni "charity"?

Kulea watoto wako ni "wajibu" kwa lugha nyingine ni "lazima" uwapatie "mahitaji ya msingi ya mwanadamu"
 
Wenye kuona mbali tulishamjua huyu bwana ana chembe chembe za ubushoke,sasa akiingia ikulu ina maana kuna maamuzi ya nchi yatatoka kwa mkewe.
 
Uongozi unaanzia kwenye ngazi ya familia, pamoja na majukumu uliyonayo ya kitaifa lakini bado umeweza kumsaidia mkeo katika malezi ya watoto.

Tuna imani kubwa nawe, hata majukumu makubwa ya nchi utayaweza.Mungu akuongoze kwenye safari yako ya kuelekea jengo jeupe.

Wenzetu UKAWA wanafanya ujinga hata mbele za watoto wao.
View attachment 259184

huyu ni mbowe mbele ya wanawe daaa
 
Ujinga upi sasa wewe ndie mjinga miafrika ndivyo tulivyo.
 
angekuwa mweusi angekuwa kama mimi tu...mchumi gani ambaye shilingi inashuka thamani yeye yupo kutangaza nia?? mzalendo gani huyu
 
waafrica wanapenda credits hata ambazo ni wajibu wao,sasa mtoto si wake kuna ajabu gani kulea mtoto wako.
 
angekuwa mweusi angekuwa kama mimi tu...mchumi gani ambaye shilingi inashuka thamani yeye yupo kutangaza nia?? mzalendo gani huyu
 
Back
Top Bottom