meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Hakuna cha unyonge ila hakukuwepo na mapepo ya kukemea. Nimeongea kwa lugha ya mazungumzo sio ya kukemea mapepo ya bungeni
amesema kauli ya kwamba ''msipoichagua ccm mtakufa'' ni ya kutengenezwa
Hata mimi nimemsikia. Tuwekeeni tena ile video ya youtube tujirithishe. Naona kama ameona hiyo kauli inamatch sana bomu, anataka kujivua. Lakini huyu jamaa ni home boy wangu halafu namchukia kama shetani!
Ni katika Matangazo ya jioni RFA via VOA, alipo kuwa anahojiwa kuhusu tukio la bomu ARUSHA. Amesema hiyo kauli ni maneno ya kutengenezwa tu na haja wahi kutoa kauli kama hiyo kwenye mkutano wowote ule.