Mwigulu nchemba aipongeza chadema!

Mwigulu nchemba aipongeza chadema!

hamic94

Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
28
Reaction score
3
Mwigulu aipongeza
CHADEMA
NAIBU Katibu Mkuu wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mwigulu Nchemba,
amekipongeza Chama cha
Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kwa ushindi,
huku akitoa angalizo
kwamba ushindi wao
umetokana na chama hicho
kuwa watetezi katika kata
hizo.
Mwigulu ambaye pia ni
Mbunge wa Iramba
Magharibi (CCM) aliyasema
hayo jana asubuhi
alipokuwa akihojiwa
kupitia kituo cha Radio cha
Passion kinachorusha
matangazo yake jijini Dar es
Salaam kuhusu mambo
mbalimbali yaliyolihusu
taifa.
Alisema chama tawala
kimepata funzo kupitia
chaguzi hizo na ikiwamo
Watanzania kutopenda
kupiga kura katika
mazingira hatarishi.
“Kwa hilo tunawapongeza
wameshinda, ninachoweza
kusema sisi tumeondoka tu
na mafunzo kwenye eneo
lile kwamba Watanzania
hawapendi mazingira
hatarishi ya kupiga kura,”
alisema.
 
kama kapongeza kutoka moyoni. nampongeza kwa ilo na inaonyesha demokrasia makini iliyo komaa.
 
Back
Top Bottom