SAMUNGE TZ
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 254
- 23
]hivi jamani mwigulu anaonekana mwiba sana kwa cdm, mbona threads za mwigulu haziishi hapa jf, yaan kati ya threads tano zinazoposiwa moja lazima iwe ya mwigulu, jamani watu hawalali kwa sababu ya mtu mmoja, na wangekuwa wawili tz hii ingekuwa je, poleni sana cdm, japo kuwa mnamkuza wenyewe,
kweli wewe ni mkababu kweli
kweli wewe ni mkababu kweli