ZAMAZAGIZA ZIMEISHA
Member
- Jul 16, 2012
- 10
- 13
mada kama hii hakuna hata cha kujadili
Mwanzo ilikuwa vijana wa migodini wamepewa pombe za kienyeji mara walikodishiwa HIACE ikaja nyingine ni vijana wa STEND sasa tena mnaingiza mpaka KANISA TAKATIFU hapana hii haikubaliki DAMU YA YOHANA bado inawatafuna
mwanzo ilikuwa vijana wa migodini wamepewa pombe za kienyeji mara walikodishiwa hiace ikaja nyingine ni vijana wa stend sasa tena mnaingiza mpaka kanisa takatifu hapana hii haikubaliki damu ya yohana bado inawatafuna
Toka huyu jamaa awe mbunge ameingiza propaganda za magamba Katika makanisa
KUNA KANISA MOJA LA K.K.K.T HAPA KYENGEGE ambako ndo kata atokayo bwana NCHEMBA limegeuka Kanisa la CCM vikao vyote vya siri vya CCM hufanyika katika KANISA HILI,NADHANI RUSHWA AMEACHA KUWAPA WAUZA KARANGA KAMA ANAVYOFANYA MARA ZOTE SASA AMEHAMIA MAKANISANI;NAPENDA KUUJULISHA UMMA KWAMBA SIKU AMBAYO CHADEMA WALIFANYA MKUTANO NDAGO..BAADHI YA WAJUMBE WA CCM KATA HII WALIKUTANA KATIKA KANISA HILI ASUBUHI MIDA YA SAA 3 WAKIJIPANGA KUELEKEA NDAGO KUHAKIKISHA WANAVURUGA MKUTANO;MWISHO NAPENDA KUSEMA HALI HII YA MAKANISA KUTUMIWA KAMA UCHOCHORO NA CCM HASA BWANA MWIGULU NCHEMBA INASIKITISHA SANA
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki IRAMBA MAGHARIBI
Sisi tunajadili Kama wewe hutaki timua sio lazima uchangiemada kama hii hakuna hata cha kujadili
tupe sosi
Huyo bwana mdogo siasa imemshinda kabisa, anadhani ata gain popularity kwa kufanya hivyo. wala hatofika mbali haoni wenzake akina Zitto, Makamba, Filikwizombe na wengineo wanavyoendesha siasa zao? hata akieneza hizo propaganda hatoweza kuiyumbisha CDM. Kama hizo propaganda zitaboresha maisha ya waTz hapo sawa ama kama zitakomesha ufisadi sawa na ama kama zitashusha mfumko wa bei sawa ama kama zitaboresha maisha ya vijijini sawa. Yeye aendelee kuropoka tu halafu atashuhudia jimbo likinyakuliwa hivihivi mchana kweupe na bila hata wizi wa kura kama walivyozoea wao.