Mkuu huyu ni wa kusamehe kwani pigo alilowapa Lowasa la kuhamia UKAWA limewachanganya mno na kuwafanya wachanganyikiwe na hawajui cha kusema, wakumbuke matusi haya ndiyo yalimuweka WENJE madarakani baada ya wananchi kumpigia kura za huruma. Mwisho wa CCM umefika na mwisho wa wanaCCM kufikiri vizuri.Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za Ccm Kumtukana Mgobea Wa Ukawa Mh Lowassa Kila Kona. Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili? Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyubani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya Ccm? Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.
Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za Ccm Kumtukana Mgobea Wa Ukawa Mh Lowassa Kila Kona. Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili? Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyubani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya Ccm? Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.
Mkuu huyu ni wa kusamehe kwani pigo alilowapa Lowasa la kuhamia UKAWA limewachanganya mno na kuwafanya wachanganyikiwe na hawajui cha kusema, wakumbuke matusi haya ndiyo yalimuweka WENJE madarakani baada ya wananchi kumpigia kura za huruma. Mwisho wa CCM umefika na mwisho wa wanaCCM kufikiri vizuri.