tatizo mwalimu hakupanga njama za kuuwa wananchi wake, kama huyu alivyofanya kule soweto.
Basi atoke sasa ndani ya chama kisichoaminika,chama cha magamba na mafisadi,waongo waliotuahidi maisha bora miaka 10 iliyopita kumbe wanamaanisha ya wanafamilia zao na marafiki zao kwa maumivu yetu wanawanchi.
Kinachosikitisha ni kwamba viongozi wa CCM wanayajua matatizo yote yanayoikabili jamii na namna ya kuyatatua lakini wanacheza reggae tu na bla bla kibao.
Huo unyerere na usokoine uko wapi sasa? Au alikuwa anaitwa na videmu vyake vya utotoni ndo anatupigia kelele leo.
Au anamzungumzia Nyerere baba Yeriko?
mpka sasa mwigulu pekee ndiyo mtu pekee anaye sadifu fikra za nyerere na sokoine katika utendaji
Juzi nilikua safarini, nilipopita pale Ruvu kuelekea Chalinze kuna daraja ambapo treni inapita juu, kuangalia juu ya ukingo wa lile daraja kuna Mpuuzi kaandika MWIGULU NDIO RAIS 2015. Nikacheka tu maana huyu jamaa ana ndoto za ajabu mno.......na huku ni kuchafua mazingira yetu, huwezi kuandika ujinga kama huu kila mahali. I hate it.
MANI zumbemkuu Chakaza tpaul na wengine huyu kijana ni mzima kweli? lusungo pale ni Vigwaza au ni Ruvu? Kumbe na wewe uliona ule upuuzi eeeh??
Nyerere hakuwahi kukamatwa ugoni,Nyerere hakuwahi kununua vijana kumsifia,Nyerere hakuwa mshamba kujifananisha na kaliotangulia ili kupata sifa,Nyerere alikuwa mwanademokrasia pamoja na watz kukataa vyama vingi lakini akashauri tubadilike,sasa huyu Panyaroad amesahau alivokuwa anamtukana Dr.Slaa kwamba ana mapepo saba,akanunua vijana kulipua mabomu.
Eti wazalendo. Mwigulu awe Nyerere! Una umri gani wewe? Mwigulu anaweza kuishi fikra za Nyerere? Ulizia vizuri Nyerere ni mtu wa namna gani? Nadhani utakuwa under 18.Mwigulu ndie mtu pekee anaesadifu fikra za Nyerere ndio maana sisi wazalendo tunamwita Nyerere
Mmhhh!!! Hapa kuna dalili za chuki binafsi tu!!!1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu
chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY
PROFESSION
2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC
Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa
AICC estates hususani mabarabara ya estate ya
KIJENGE
3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men
ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa
sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia
mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au
tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za
uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.
4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na
Dowans
5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na
JK barabarani
6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa
dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais
7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za
uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane
inashinda na vyombo vya dola vinamlinda
kwenye kufanya hayo
8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa
kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao
umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa
CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye
kugombea urais .
9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko
tayari suala la urais limtoe roho
10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima
inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha
11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.
12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.
13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!
14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!
15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!
Eti wazalendo. Mwigulu awe Nyerere! Una umri gani wewe? Mwigulu anaweza kuishi fikra za Nyerere? Ulizia vizuri Nyerere ni mtu wa namna gani? Nadhani utakuwa under 18.
Huyu jamaa ana tuhuma nyingi sana, hawezi kuzikwepa
Lazima kwanza arudi Igunga akaombe radhi kwa yale aliyoyafanya wakati wa kampeni za ubunge.
Lazima arudi pia Arusha akawaombe radhi wananchi wa kule kwa yaliyotokea
Lazima arudi Singida akaombe msamaha kwa yale yaliyotokea huko.
Tukishasikia kauli za kumsamehe toka wa wananchi wa majimbo haya - basi na sisi watanzania wa ujumla tutamfikiria kumsamehe.
Kiukweli wananchi tulikwazika sana na huyu jamaa - hadi wengine wakampachika jina la SAVIMBI. Siasa zilikuwa zinampeleka kubaya inawezekana kaanza kujistukia kwamba alianza kupoteza dira.
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga
CHANZO: NIPASHE