Ninamkubali Mwigulu kuliko wagombea wote urais 2015 ccm kwa sababu walau ametuonyesha uthubutu wake na utendaji wake uliotukuka,amekua mstari wa mbele ktk kubuni namna ya kuongeza pato la nchi na kujitegemea na ss tumejionea ongezeko kubwa la ukusanyaji wa mapato kutoka bil 300 hadi 800 kwa mwezi,leo hii misamaha ya kodi isiyo ya lazima ni mwiko chini ya utawala wake,Mwigulu nchemba amekua akikemea maovu na ubadhirifu wa fedha za serikali wazi wazi bila kificho wala uoga hii yote ni ktk kuonyesha uthubutu na mapenzi yake kwa watanzania maskini...tunashukuru kwa kuungwa mkono na cc ya chama ccm kuungana naye ktk kupambana na ubadhirifu na wote tumeshuhudia tamko lilotolewa na ccm kuwa hatua stahiki zichukuliwe,mh Mwigulu huwa habahitishi ktk maaumizi yake anatenda kwa uhakika bila unafiki, uoga wala chuki,ila zaidi kwa uwazi na kuwashirikisha wananchi wa Tanzania kila leo kupitia media kwani ni haki yao msingi kusikia ama kwa hakika watanzania wenzangu huyu ndiye mtu sahihi kwetu 2015...
mimi simfahamu mwigulu nanilikuwa simpendi kabisa mwigulu
lakini kwasasa namkubali sana mwigulu
1 kwa utendaji wake makini ndani ya serikali ya tanzania
2 mwigulu amekuwa msitari wa mbele kuwa nyoshea vidole mafisadi na wezi wote ndani ya nchii hii
kwahayo machache tu mwigulu hunasitahili pongezi mkuu
nisaamehe kwa kukuchukia bila kosa
Mwigulu rais pekee mwenye haiba ya kuleta Mabadiliko kwa Vitendo kwa wananchi wote hasa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati
Mwigulu for Tz 2015
mimi simfahamu mwigulu nanilikuwa simpendi kabisa mwigulu
lakini kwasasa namkubali sana mwigulu
1 kwa utendaji wake makini ndani ya serikali ya tanzania
2 mwigulu amekuwa msitari wa mbele kuwa nyoshea vidole mafisadi na wezi wote ndani ya nchii hii
kwahayo machache tu mwigulu hunasitahili pongezi mkuu
nisaamehe kwa kukuchukia bila kosa
mkuu nyanile naungana na wewe jamaa yuko poa sana kwa sasa.
Pole na Usijali Mwigulu ndiye chaguo sahihi na utendaji wake unaonekana wazi
Hivi Nyerere akirudi akakuta anafanishwa na Gaidi, itakuwaje? Nahisi atajiuliza maswali mengi, atasema kwamba kumbe waTz hatuthamini mchango wake hata kidogo hadi tunamfanisha na Gaidi.
huyu ni mwehu tu
Mwigulu ndie mtu pekee anaesadifu fikra za Nyerere ndio maana sisi wazalendo tunamwita Nyerere
Nyerere hakuwahi kukamatwa ugoni,Nyerere hakuwahi kununua vijana kumsifia,Nyerere hakuwa mshamba kujifananisha na kaliotangulia ili kupata sifa,Nyerere alikuwa mwanademokrasia pamoja na watz kukataa vyama vingi lakini akashauri tubadilike,sasa huyu Panyaroad amesahau alivokuwa anamtukana Dr.Slaa kwamba ana mapepo saba,akanunua vijana kulipua mabomu.