Mwigulu: Kuna vyama vinaendeshwa kama SACCOS...

Mwigulu: Kuna vyama vinaendeshwa kama SACCOS...

Lawama nawapa wana Iramba kwa kumchagua kiongozi ambaye hajui chochote,hajui anachokifanya,kalewa madaraka.Wana Iramba 2najua mlifanya kosa! Ila kosa la kwanza c kosa! Mmchague m2 atakayewapigania cyo asiyojua kitu kama Mwigulu.
 
Hapa aliyepungukiwa akili ni huyu mwandishi aliyeenda kumhoji Mwigulu..Maana amekuwa kama yule aliyetoka uchi akimfukuza kichaa aliyebeba nguo zake wakati anaoga!! Ukienda kumhoji mtu kama Nchemba unategemea jipya gani??
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha kweli hili jamaa mwigulu hamnazo kabisaaa......hajui hata maana ya neno saccoss maskini, kweli kosa mali upate akili. Magamba wana hasara kweli kweli.
 
Kamata kichwa, piga ukunga
.uuuuuuuuuiiiiiii? Oooo ,mwiguluuul
mbn saccos zinaongozwa vzr tu? Mwigulu nakujua sna.umerudia shule mara 4 unafeli tu, mwishowe ukachukua jina la mtu.jina lako ni la kisukuma.
Mwigulu, vp imekuaje chama kinachoendeshwa ki saccos kikakupiga 4 bila?
Mwigulu, iweje chama kinachoongozwa kifamilia kikushinde mahakaman tena mara 3?
Mwigulu, iweje katibu wako akukimbie na kujiunga chama chz familia? Kumbe cdm ni familia bora inayojua kutunza watoto.ccm imeshindwa kuwatunza watoto wake,matokeo yake inawateka na kuwapiga et kisa watoto wakilalamika njaa. Chama cha kifamilia kimekupga 4 bila.
Hv mwenykt wako amechaguliwa kweli? Hata uchaguz wa serikali ya wanafunz hakuna kitu kinaitwa kypita bila kupingwa.kura za ndiyo na hapana.! Hata mwanamke hachaguliwi hvo

We unashabikia vitu usivovijua,Jk alichaguliwa na kuwashinda kna sumaye,mwandosya,salm,shibuda,simba na wengneo weng so acha kukurupuka,afu hzo kesi hazjaisha n jus wamebadilisaha jina na kuwa jinai,kupewa dhamana haina maana ndo umeepukana na mkono wa sheria,kumtesa bnadamu mwenzako lazma naww ulipe tu hata kama sio dunian Mungu atakulipa tu,,Salam kwake Lwakatare!
 
Huyo Mwandishi ni mburula kabisa na Mwigulu ni sifuri kabisa.
Mwandishi anauliza maswali rahisi kabisa na Mwigulu kakariri majibu tena majibu rahisi.

Kila swali Mwigulu anarudia kusema SACCOS, CCM ndio itakayobaki pekee..., Vyama vingine... nk.

Mwandishi anamuuliza Mwigulu, ''Eti unaonaje sikukuu ya Nane mwaka huu?!!'' Kweli hilo ni swali kwenda kumuuliza Naibu Katibu mkuu wa CCM?

Mwisho Mwigulu anamaliza kwa kusema ''Asanteni kwa kunisikiliza''. Alikuwa anahojiwa au anahutubia?

MY TAKE.
Mwandishi na Mwigulu ni kitu kimoja na huenda ni Mwigulu mwenyewe aliyeandaa maswali na majibu ya mahojiano hayo kabla, na Mwandishi ametumika tu kama 'Kijana Tesha wa Tindikali' alivyotumika Arusha kama sanamu la Mwigulu jukwaani.

Ningekuwa mhariri wa Mlimani Tv hayo mahojiano yasingekwenda hewani, ningeyatupilia mbali kwani ni uchafu tu kwa watazamaji.
 
Mimi hapa SACCOS naona ni cccm wenyewe maana toka sheria ya vyama vingi ianze chenyewe pekee ndio hakijasajiliwa kwa sheria hiyo ya 1992. Huyu jamaa ni msomi mzuri lakini kazi ya siasa haimfai. Ushauri wangu kwake ni bora angerudi
kufanya kazi serikalini au ajiajiri tu.
Sina mengi kwa leo, pia apunguze kuongea kama lay man. No research, no right to speak, pia leo akiongea jambo kesho analipinga. Achana na siasa kaka huiwezi.
 
Ndio maana hata kwenye knutano wake alikosa watu, nani atenda kwa mwehu huyo?

382551_10201424898532756_271765591_n.jpg
 
Huyu jamaa ni kilaza, hajui mfumo wa vyama vingi haviku anzishwa kwasababu Tanzania ilipenda kuingia kwa huo mfumo la hasha.Tanzania ilikubali mfumo wa vyama vingi kwa shinikizo la nchi za ulaya na marekani..kuwa kama hawata ukubali mdumo wa vyama vingi basi misaada hakuna.ndio Tanzania ikakubali huu mfumo kwa shinikizo.so hizo ndoto za kilaza mwigulu kuwa vyama vyote vinaweza kufutwa ibakie magamba anajidanganya.kilaza mwigulu acha kuota ndoto za mchana kweupeee.
 
Nani kamwaga pombe yake? Nauliza! Maana anavyogomba huyu mtu busara 0. Eti siku hizi anatumia mafumbo. Kilichobaki atunge kibao cha taarabu mpiga gitaa nape ampe shavu kwenye chorus yule mpunge anayeongoza kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya wachapa usingizi mjadalani
 
Heri vinavyoendeshwa kama SACCOS ili mradi wanasaccos hao wanafurahia, je chama kinachoendeshwa kama kundi la majambazi, tukifanyie nini??? wala unga na wezi wa EPA ni rafiki wa Mwenyekiti wa chama hicho, tuwafanye nini???
 
Huyu shetani mbona anapenda sana kutumia maandiko tafadhali kaka okoka mrudie mungu achana kabisa na mipango yako ya mauaji mpaka imefikia hatua unaitwa savimbi wewe unaona ni sifa nzuri kweli pia umekuwa na bahati mbaya sana kila unapo ongea na vyombo vya habari lazima utatamka maneno yanayo tuaminisha kuwa wewe ni gaidi angalia imefikia hatua unakusanya hata ndugu zako wanakukimbia kwenye kikao hawaji mimi nakushauri wapo makada ndani ya ccm wanaheshimika sana tena sana naamini katika janga la kitaifa lililopo ndani ya ccm ni pamoja na wewe mimi naumia sana kusikia kila dakika ukisemwa unabambikiza watu kesi za ugaidi wewe ni muongo mkubwa sana ulaaaniwe narudia tena ulaaniwe siasa si hivyo wewe ndio unatuharibia siasa za tanzania ukome ukomae
 
Kicgwa cha mwendawazimu hicho, mbona chake cha kijangili, kifisadi,kigaid hatusemi?
 
chama cha kifamilia sijuhi alikuwa anamaanisha nini chama cha watu wa kabila moja
 
Namuunga mkono! CCM kwa sasa kinaongozwa kama SACCOS. Zamani kilikuwa na sera ya kuwatetea wakulima na wafanyakazi. Sasa waseme kuwa wanamtetea nani! Kilikuwa kinapinga dhuluma na maonevu! Sasa na waseme wenyewe. Rushwa alikuwa adui wa haki. Kwa kweli ukiondoa viongozi wa CCM ambao hawakupata uongozi kwa rushwa, waseme kuwa wangapi watabaki! Walikuwa mstari wa mbele kupigana na adui ujinga. Waseme wenyewe kulingana na matatizo ya elimu tuliyo nayo sasa! Ardhi na rasilimali zote zilikuwa mali ya uma, sasa waseme wenyewe kuwa kuwahamisha wamasai kule Loliondo ili apewe mwarabu maana yake nini! Zamani kilikuwa kinakerwa na umaskini wa watanzania. Sasa na waseme wenyewe.....Ukweli sasa kinaendeshwa kama SACCOS , BILA MALENGO MAHUSUSI YA KUMKOMBOA mWANANCHI WA KAWAIDA KIUCHUMI!
 
Ha ha ha Taswira aka masalia ndio mwandishi wa shetani mwigulu nina ushahidi mpaka mbinguni anagalagazwa mahakamani mara tatu in a roll kabwagwa kiaina hata Mwenyekiti wake Kikwete aliyempa promo atamtosa karibuni hakuna namna ananajisi haki za watu
 
Yani hapohapo unaonyesha mapungufu ya vyama vya siasa tena makubwa kama kutofanya uchaguzi mkuu, halafu UnamSifia Mtendaji wake amabaye alipaswa kusimamia hayo na ameshindwa. Kwanini umsifie aliyeshindwa? Wacha unafki we Mzee.
 
Naona kama Mwigulu hajui maana ya demokrasia na ustaarabu. Laiti angekuwa anafahamu asingethubutu kusema Tendwa alikuwa mstaarabu. Ni bora ajue kuwa Tendwa alikuwa hana msimamo na kutokana na uzee alipoteza kabisa kumbukumbuku na hivyo kukosa mwelekeo wa kuongoza. Siku za mwisho ofisi iliyumba kiasi kwamba nadhani Mwigulu alikuwa akimsaidia kuongoza kama inavyodhaniwa anasaidia kwenye sehemu nyingine nyeti.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom