Mwigulu katupa tip, CHADEMA tusichukie.


wale wale waliokula ya mbuzi wakaota mapembe...
 
Those with eyes let them see!

My Post made on 29th December 2012 22:19

Chintu
post made on 30/12/2012 at 19:48hrs
.....wanayo plan B. Wamepanga kutumia vurugu zinazoanzishwa na kundi la masalia ndani ya CHADEMA kuleta mauaji. Wanaweza kabisa kuwadhuru au kuwaua akina ZZK na kundi lake ili kujustify kuwa akina Dr Slaa ni wauaji.....
 

Maelezo yako yanathibitisha kwamba yale maneno Chadema wanatumia mauaji ya watu kwa manufaa ya kisiasa ni ukweli mtupu. Tazama ulivyopanga maneno yako kisiasa ndugu, huonyeshi uchungu wowote kwa wafiwa pale unaegemea siasa tu. Nilidhani kila kinachomhusu Mwangosi kitaegemea zaidi kuiponda serikali vs familia. Kumbe ni serikali vs chadema.
 

H😱ney k kibuyu
 
Anachofanya Mwigulu ni kutafuta eneo lenye weakness ndani ya CHADEMA ili aweze kulitumia kuivuruga CHADEMA.

Hivyo viongozi wote ndani ya CHADEMA wasipomjua huyu mzee wa matusi wataingia mkenge. Huyu kazi yake ni majungu na fitina na hana lolote!
 
Huyu Mwigulu asidhani kama huwa anafikiria kabla ya kuongea! Anaonekana bado ana siasa za kitoto sana!
 
Hebu vuta hisia, kuwa zzk kauwawa mazingira fake yamehusisha cdm...MATOKEO YA GHAFLA NI KU ANTAGONISE CDM NA UMMA NA HATIMAE KITISHO CHA CDM KWENYE UCHAGUZI KKWA KWISHA. .....

BOTTOM LINE:
Afya na usalama wa zzk sasa ni ISSUE kutokana na uzi huu. Tena hata yeye anaweza asijue au akaaminishwa ni cdm ndio wabaya wenye mpango huu mchafu, kumbe kinyume...zzzk atafakari vzr tip aliyopata
 
"kinywa hunena yaliyomo moyoni"
Huyo Mwigulu Nchemba amejikuta anaropoka yale ambayo yanayofanywa na ccm katika mikutano ya chadema.
Ushahidi ni ule mkutano wa Mnyika na Dr.Kitila Mkumbo katika jimbo la Nchemba.
 
Last edited by a moderator:

Nilimsikia huyu 1st class economist wa BOT akisema kwamba shule zote Tanzania zilianza kuwa za kata, nikakumbuka maneno ya Msigwa kuwa ndani ya CCM watu wameweka akili mifukoni na wanafikiri kama watoto wa darasa la pili. Huwezi kumtofautisha profesa na mwanafunzi wa P2. Tangu lini Iliboru, Mzumbe, Kibaha, Njombe n.k zilishawahi kuwa shule za kata?! Hivi CCM wanadhani wataishinda CHADEMA kwa mitusi ya akina MWUGULU. Hapa ndipo nayakubali maneno mengine ya mchungaji Msigwa ya akili ndogo kuongoza akili kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…