Tutusa......Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa.
Savimbi hiyo! Yaani ukiwasikiliza Mwigulu na Nape ndipo utaamini kuwa mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi katika CCM mradi tu awe na mdomo usiongozwa na kudhibitiwa na ubongo!