Mwigulu anafanya kampeni binafsi. Hakuna agenda ya maana

Mwigulu anafanya kampeni binafsi. Hakuna agenda ya maana

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Huyu waziri mkuu fake anatembea kujitangaza hakuna matatizo yoyote ataweza kusimamia kwa sitofahamu ya sasa.

Nchi haina mwelekeo kwa sasa. Rais analimhikizia kabla ya muda wake kuisha yeye na machawa wake.

Mwigulu anasubiri na ndoto ya Urais hana jipya na kupoteza pesa za wananchi
 
Anajijenga kisiasa Mwigulu janja kwa maslahi binafsi sijui anakaa offcn saa ngapi?
 
Anapiga kazi nzuri sana.message kwa wabadhirifu huko kwenye mahalmashauri kaeni chonjo,,roho ya magufuli imefufukia kwake
 
Back
Top Bottom