M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,079 Jul 24, 2022 #81 Pascal Mayalla said: naunga mkono hoja, japo Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli ila Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! P Click to expand... Pascal kuwa muwazi huyu hafai. Uongozi ni unyenyevu sio mabavu na kupenda sifa
Pascal Mayalla said: naunga mkono hoja, japo Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli ila Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! P Click to expand... Pascal kuwa muwazi huyu hafai. Uongozi ni unyenyevu sio mabavu na kupenda sifa
voicer JF-Expert Member Joined Jul 13, 2020 Posts 5,545 Reaction score 11,944 Jul 24, 2022 #82 The Sunk Cost Fallacy said: Mimi namdisqualify kwenye hulka ya majivuno na ubabe kama Jiwe ila kwingine ni anafaa Vizuri tuu.. Mwingine anaefaa ni Makamba JR sijaona potential aspirants tofauti na hao Hadi mda huu labda akina Gambo ingawa bado Wachanga. Click to expand... Kwa sababu unawaza ndani ya Boksi la kijani lazima utaona hao tu. Kosa lako ni kuwaza ndani ya Boksi huku ukiwa umebinafsisha akili zako kwa kubadilishana na uniform ya kijani.
The Sunk Cost Fallacy said: Mimi namdisqualify kwenye hulka ya majivuno na ubabe kama Jiwe ila kwingine ni anafaa Vizuri tuu.. Mwingine anaefaa ni Makamba JR sijaona potential aspirants tofauti na hao Hadi mda huu labda akina Gambo ingawa bado Wachanga. Click to expand... Kwa sababu unawaza ndani ya Boksi la kijani lazima utaona hao tu. Kosa lako ni kuwaza ndani ya Boksi huku ukiwa umebinafsisha akili zako kwa kubadilishana na uniform ya kijani.
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,516 Reaction score 14,186 Jul 24, 2022 #83 voicer said: Kwa sababu unawaza ndani ya Boksi la kijani lazima utaona hao tu. Kosa lako ni kuwaza ndani ya Boksi huku ukiwa umebinafsisha akili zako kwa kubadilishana na uniform ya kijani. View attachment 2302387 Click to expand... 🚮🚮
voicer said: Kwa sababu unawaza ndani ya Boksi la kijani lazima utaona hao tu. Kosa lako ni kuwaza ndani ya Boksi huku ukiwa umebinafsisha akili zako kwa kubadilishana na uniform ya kijani. View attachment 2302387 Click to expand... 🚮🚮