Sisi wananchi wa iramba wengi wetu tuna imani na mwigulu, tena kwa 80%.BADO NINA IMANI NA MWIGULU KAMA ISSUE NI KUKERWA NA UMASKINI WETU HUKU IRAMBA.
HAO MNAOWATAJA SIJUI HATA KAMA WANKEREKA NA UMASKINI WETU
Yaani mtuletee mnyiramba mla punda aje atawale unyaturuni???
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Mi hata sijui huwa kuna issue gani katika hilinkuwi na MAPUMA MIYOGA hivi hii vita kati ya wanyaturu na wanyiramba chanzo chake ni nini. Na bado ina faida kwa kizazi chenu hiki? Kuna Mzee Mnyaturu kaoa Mnyiramba kila nikimuuliza mbona yeye Mnyaturu kaoa Mnyiramba, anatabasamu tu.
DuppyConqueror huzijui siasa za huku jaribu kuulizia kwa wenyeji.