Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,542
Wageni wanapowatoa wenyeji Knock-out!!Wacha wamnyooshe tu. Naye wale wale.
Tena nasema LINYOOOOSHWE LIMENYEKE hasa.Wacha wamnyooshe tu. Naye wale wale.
Acha siasa za uchonganishi, Mwigulu bado anapendwa. Ila Zito ndiyo hatakiwi kabisa kigoma, yaani asahau ubungeInaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Bahati mbaya ni kwamba mmojawapo kati ya hao wawili atakuwepo.Kuwakosa wote wawili ni baraka zaidi.
Nilikuwa Iramba na kujionea jinsi Kitila anavyopiganiwa na Ngazi za juu za CCM dhidi ya Mwigulu.Acha siasa za uchonganishi, Mwigulu bado anapendwa. Ila Zito ndiyo hatakiwi kabisa kigoma, yaani asahau ubunge
Asubuhi ya leo nilikuwa Doromoni na Kisana. Nimefika Ndago, mgongo na kulala Kiomboi kwa zaidi ya wiki. uongo wangu uko wapi?Kamanda Kilewella utaacha lini hii tabia yako ya Uongo, Uzandiki na kupotosha Umma!? Yaani mpaka Aibu wanaona watoto wako!
Niko Ikungi kikazi. Mara 100 ungesema mkakati ni wa kumuondoa Tundu tunduni Ikungi.
Na mimi nitatiwa kwenye Kiroba!?Nakukumbusha pia ukumbuke alivyodeal na ile issue ya viroba vyenye miili ya watu
Hawana mtu mwingine kuchukua hilo jimbo? I wote wanafiki hao.. Tena mwigulu ndio kazidisha unafiki maradufu tangu atumbuliwe. Mtu ambaye siasa haitamtupa ni Nape. Anajitahidi Sana kusimamia anachokiaminiInaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Hapa upinzani una nguvu sana ila hawako - Organized. Na aliyegombea mwaka 2015 kupitia CHADEMA ambaye ni Jesca Kishoa, sidhani kama amewahi kurudi na kufanya kazi ya siasa hapa Iramba Magharibi.Hawana mtu mwingine kuchukua hilo jimbo?