Mwigulu Amfuta Lowassa Tunduma mchana huu

Mwigulu Amfuta Lowassa Tunduma mchana huu

Mwigulu mkutano wako mmoja point tupu inazidi mikutano mitano ya pande zileee...... No matter watu wangapi wanakuja ktk mikutano yako, wengi ni wapiga kura halisi. Big up
 
Yupo sana tu...
Kuna mtu anaitwa Suleiman Mathew zamani alikuwa mchezaji wa Yanga anamfanya Nape anapumulia mashine pale Mtama.

Teheee angalie asije kumuaa kwa preshaa tuu! inamaana hata gazeti la chama limemchuniaa..haskiki kabisaa
 
Viva Mwigulu.
Tunduma msichezee faranga kwenye tundu la chuo kwa kusikiliza mafisadi wa UKAWA
 
Hv ile sehemu ambazobmheshimiwa lowassa aliahidi kurejea alifanya hivyo?kama tanga na tunduma
 
ivii Napee yupoo kwelii?!!

Yupo amepanga guest moja hapa Mtama km 50 toka Lindi mjini na hapo ndo kitovu cha siasa za jimbo hilo. Anavyoonekana ni kama mkimbizi maana hata polisi wameshindwa kumsaidia mara wampopoe na mawe mara kila anapopita asikie peoplees so kwake ni shida maana Mathew hakamatiki na hapa Mtama yeye ni mzawa na sio mhamiaji kama Nepi.
 
Ila sipati picha haya majembe,rais magufuli,makamu samia,waziri mkuu mwigulu,waziri wa nishati muhongo,hapo itakua ni mchakamchaka kwa sana.hadi raha yani.
 
Ila sipati picha haya majembe,rais magufuli,makamu samia,waziri mkuu mwigulu,waziri wa nishati muhongo,hapo itakua ni mchakamchaka kwa sana.hadi raha yani.
Ha ha ha...na mimi nataka Muhongo arudi pale pale akafunge gesi kabisa na Makufuli watu wasipigiane Upatu....
 
ccm hamna chenu..... yani trh 25 jion ni vifijo na nderemo ukombozi umetushukia.... CCM OUT
 
Ngoja haya masaa kadhaa ya mwisho mwisho wajifariji. watajilaumu kwa pesa wanayoharibu

Wameharibu? Wenzako hapo ni dili tupu. Mwigulu, January, Kinana unaambiwa wamevuta kwa mtindo huu wa kusema nipeni kiasi fulani nikazime mambo kule. Millioni 400 zinatolewa anatumia 150 tuu, imetoka hiyo!
 
CCM nyie ni mabingwa wa kujidanganya wenyewe

Mlisema Twawezeshwa wamewapa 65% ya ushindi kumbe ni kura mlizopanga kuiba Watz tukashtuka

Mkasema tukipiga kura turudi nyumbani Watz tukashtuka kura haumibi

Mlipanga kutumia wanawake kuficha kura za Makufuli kwenye matiti Watz tumeshtuka hamuwezi kuiba kupitia matiti ya mama na dada zetu

#CCMOUTOCT2015
#KURAHAZIIBIWI
#GOLILAMKONOKAPIGIEBAFUNI
 
Si nilisikia baada ya tarehe moja chopa tano za cdm kanda zote.inakuwaje mnalalamika kuwa ccm inafanya kufuru.shida ni elimu na ukawa haikuwa na coordinator wa kampeni mzuri.

..hujielewi; naona unamjibu gamba mwenzio!
 
Back
Top Bottom