Mwigulu Amfuta Lowassa Tunduma mchana huu

Mwigulu Amfuta Lowassa Tunduma mchana huu

Kansigo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,670
Reaction score
2,156
Baada ya kusikia kuna matatizo ya vipaza sauti huko Tunduma, imebidi Comrade Mwigulu aende kuwaonyesha jinsi vinavyofanya kazi

11223640_10207742494429641_3379035776559252065_n.jpg
 
Si nilisikia baada ya tarehe moja chopa tano za cdm kanda zote.inakuwaje mnalalamika kuwa ccm inafanya kufuru.shida ni elimu na ukawa haikuwa na coordinator wa kampeni mzuri.
 
Si nilisikia baada ya tarehe moja chopa tano za cdm kanda zote.inakuwaje mnalalamika kuwa ccm inafanya kufuru.shida ni elimu na ukawa haikuwa na coordinator wa kampeni mzuri.

Kwa hiyo hadi sasa kuna mpiga kura ambaye hajui atampigia kura nani? Katika mikutano ya CCM sasa hivi wananchi wanaenda kuangalia shoo za wasanii wenu na ndio maana katika matangazo yenu huwa ni lazima mtaje orodha ya wasanii watakao kuwepo kwenye mikutano yenu.
 
Si nilisikia baada ya tarehe moja chopa tano za cdm kanda zote.inakuwaje mnalalamika kuwa ccm inafanya kufuru.shida ni elimu na ukawa haikuwa na coordinator wa kampeni mzuri.
Ilikuwa iwe hivyo lakini kuna baadhi ya chopa tulizotaka kuchukua mojawapo ni ile mbovu iliyomuua F.Njombe CCM kwa uzembe wakajua wamewazidi kete CDM na kuipandia dau kilichofuata ndio hicho R.I.P F.Njombe
 
CCM out...!!!

Mwigulu has no POLICIES... has no influence, he can't persuade any one..!!!

Mwigulu kazi yake MATUSI tu...!!!

Ukombozi jpili...!!! CANADA wapinzani wameshinda uchaguzi... CCM sasa yenu imewadia kutoka...!!!

CCM out...!!!
 
Nao si niwana ccm au kuna siku walimleta davido au wizkid??? hii hata Kenya ilifanyika fuatilia chaguzi za wenze2 zitakuonesha mengi yanayohusu uchaguzi.
 
Back
Top Bottom