Mkuu ona hata aibu. Kweli hapo ni Tunduma na mkutano huo unaozidi ule wa Lowassa? CCM mtakosa kura kwa kuendekeza uongo
Asante sana CCM! Mnatupa raha washabiki wenu!!! Mwigulu Shikamoo Waziri Mkuu Mtarajiwa!
Mkuu ona hata aibu. Kweli hapo ni Tunduma na mkutano huo unaozidi ule wa Lowassa? CCM mtakosa kura kwa kuendekeza uongo
Mnaweza shinda Monduli lakini si TundumaTwanga kotekote!!!!!! Ukawa wanabaki mitandaoni kuja na propaganda! Hapa kazi tu!
Sijawahi kuona chama king'ang'anizi kama ccm. Wanasema mateke ya ng'ombe alio chinjwa tayari. Lowassa akifanya hivi, wapo nyuma, lowassa akifanya kile, wapo nyuma. Yaani sio wabunifu kabisa.
CCM mmezidisha sifa sasa!
Baada ya kusikia kuna matatizo ya vipaza sauti huko tunduma, imebidi Comrade Mwigulu aende kuwaonyesha jinsi vinavyofanya kazi
View attachment 300807
View attachment 300853View attachment 300854View attachment 300855View attachment 300856
shughuli ya mchana huu hiyo
Baada ya kusikia kuna matatizo ya vipaza sauti huko tunduma, imebidi Comrade Mwigulu aende kuwaonyesha jinsi vinavyofanya kazi
View attachment 300807