Mohamed Mwaupete
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 375
- 133
While __________________________ ni JOKER LA MDIM
Katika Gazeti la Mwananchi la leo Jumapili
23.11.2014
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
katika maoni yake kama kiongozi wa Nchi na
mmoja wa Vijana shupavu Nchini wasio na
chembe ya Kashfa yoyote katika Nchi hii kama
historia yake inavyojieleza kuwa ni Mtoto wa 10
katika Familia ya Mzee Madelu,Mtoto pekee
aliyesoma katika Familia hiyo,akiwa na historia
ya kujisomesha kwa kuchunga Ng'ombe hadi
anamaliza kidato cha sita na Baadae UDSM
kwa Mkopo wa Serikali,Naa baadae Masters
aliyoisoma akiwa anafyatua tofali kama kibarua
pale Tegeta Maji.Na sasa akiwa Mwanafunzi
wa PHD na Msomi wa Uchumi Daraja la kwanza
anasema.
"HAOTOSHI,HAITOSHI,HAITOSH I Mafisadi wa
ESCROW/IPTL kujiuzulu nyadhifa zao kwani ni
sawa na kuwapa Likizo wakatumie fedha za
Watanzania,Fedha zilizopaswa kuelekezwa
kwenye Miradi ya Maendeleo
(Shule,Hospitalin.k).
Mafisadi wa ESCROW ni wahujumu Uchumi wa
Nchi,Wanatakiwa
Wakamatwe,Wafilisiwe,wafungwe" .
Kesi kama hii haiihitaji kwenda Mahakamani
kwasababu CAG ameshatoa ripoti inayotia
hatiani wahusika.
Chanzo.Mwananchi la leo Jumapili