Mwigulu ajitetea kwa balozi Cooke!

Mwigulu ajitetea kwa balozi Cooke!

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,517
Reaction score
2,439
mwigulu_1.jpg

Kwa mujibu wa vyombo vyetu dhaifu vya habari, balozi wa UK ameenda kuonana na waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa ajili ya "kumshukuru Waziri Mwigulu kwa mazungumzo waliyoyafanya na kumhakikishia ushirikiano zaidi kati ya Uingereza na Tanzania." (Mwananchi)

Bullcrap, uongo mkubwa!

Fact is, foreign envoys are meeting with state officials to deplore the ongoing political crackdown in the country since the general election, the latest steps being imprisonment of opposition MP's. UK ambassador is not meeting internal affairs minister to promise foreign aid, stop the lies, acheni uongo!

Na ndio maana Mwigulu amemuhakikishia balozi wa UK kwamba nchi iko salama, jiulize, kwanini waziri Mwigulu aripoti kwa balozi wa UK kuhusu usalama wa raia? Wanagombwa walivyo madikteta! Vyombo vya habari weak vinasubiri ofisi ya Mwigulu ndio iwaambie nini kimejiri, havielewi chochote masikini ya Mungu.

Nchi kubwa wanafanya kazi kwa mipangilio, kwa agenda, balozi hajiamkii tu kwenda kutembelea wizara ya mambo ya ndani kuahidi ushirikiano. Kwani tulikuwa hatuna ushirikiano? Watawala wanabanwa jinsi wanavyoendesha dola kimabavu, wanavyofunga wabunge wa upinzani, wanavyokataza mikutano wakati wao wanafanya (wiki hii C.C.M. wanaelekea Arusha kwenye mikutano ya nje maana wana nafasi, wamemfunga nemesis wao Arusha).
 
Sijui ni nini hatima ya Tanzania, maana Mungu hadhihakiwi.
 
Tusubiri mud and tuone kitakachotokea kwa wale wanaojaribu kumdhihaki Mungu
 
Waziri wa mambo ya ndani anajadilia mambo ya uchumi na ushirikiano sikuhizi?
 
Kuna mtu mwingine zaidi ya hao wawilil anayejua kilichojadiliwa? Are we not speculating according to our political inclinations?
 
To be honest hivi vyombo vyetu dhaifu na vilivyopigwa mkwara huwa sina mda navyo sanaa. Bora nije JF kupata taarifa.
 
Back
Top Bottom