Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Mwigulu fanya kazi ya chama bila woga tupo nyuma yako; hii ndiyo mikutano ya kisiasa watu wanasikiliza sera na kwenda majumbani mwao salama

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hata picha za Hollywood zina washiriki wengi na vifaa vingi vya gharama kubwa vinaharibiwa sembuse Igunga.Hujawahi kusikia Rambo akikiri kuwa hakuna kitu anachokihofia kama silaha za kivita wakati kwenye picha zake anazichezea kama watoto wanavyocheza kiduku.
 

Nkananga:Hapo nilipoweka nyekundu. Huyu Mwigulu ni kichaa, hivi anaelewa maana ya kukashifu mhimili wa mahakama katika upuuzi kama huu? Dawa ya kuwakomesha hawa magamba ni kuwaburuza mahakamani na kuwafunga kama sheria inavyotaka ili wakome kutoa maelezo ya uongo kwa ajili ya kupotosha umma. How long will these goons continue to tell the public lies that derail the process of establishing true democracy in our country??
 
Mwigulu si kichaa! amewashika vilivyo..........
 
Hawa ni watu wa kule vijijini sio wilayani.....tena bila shaka ukiwauliza mmekwenda kumlaki nani...watakujibu Nyerere!
Si unaona wengi wao wanaonekana wamekuja kuangalia huduma ile ya mahindi kama kwenye kampeni.....kila neno analoongea Mwigulu bila shaka wenyewe wanasikia "wali maharage"
 
Ndoto za mchana hizo mkuu....face reality for your salvation
 
hana mvuto, atafute kazi nyingine ya kufanya siyo majukwaani anatuharibia ccm kila anakoenda. Arumenu kaharibu akakimbia usiku wa manane bila kuaga.
 
hana mvuto, atafute kazi nyingine ya kufanya siyo majukwaani anatuharibia ccm kila anakoenda. Arumenu kaharibu akakimbia usiku wa manane bila kuaga.

mvuto wa nini? unataka kuolewa??
 
mwe mwangalie alivyo, anatukimbizia watu kwenye mikutano yetu.
 
wewe gamba,hebu fuatilia garama zinazotumia watu kuja kwenye mikutani kama hiyo,mmelaaniwa mnatumia umaskini wa watu ili muendelee kuwaibia.hapo watu lazima wemekula ubwabwa na elfu mbili na taarabu ya mzee yusufu inawaburudisha,
ukweli uko wazi chadema kushinda urais 2015 hiyo ni ndoto tena kubwa sana ambayo hatekelezeki.... Jpangeni msikulupuke na urais jengeni chama bado wananchi hawakikubali cdm sambazeni na kujenga chama kwanza... Kama kweli mnataka chukua nchi kwa kura kwenye sanduku ukweli ni bado labda 2030 labda...... Mashabiki wenu wengi watu wa mijini ambao hawaeleweki .... Na ukweli uko wazi 2015 wabunge wengi wa cdm hawatarudi bungeni kwani hakuna tulichokiona wanafanya angalau zito kabwe kidogo.. -cdmntafanya vs ccm-nimefanya.
 
jamani hakuna haja yakujibizana na hawa washabiki ya mwigulu kama wametikisa Igunga na kwigine sawa cha msingi sie tendele na M4C yetu na tusubili jibu kutoka masaduku ya barua. waacheni wapige kelele na kumalizia vipesa walivyokwapua
 
Kuendelea kuijadili thread iliyopitwa na wakati wote tutaonekana wehu kama huyu Koffie kwani Mwigulu siku nyingi amekwisha ondoka na kukatisha ziara zake baada ya kuona matokeo yake. na ni vizuri tukalinganisha gharama za mikutano hiyo na matokeo yake.
 

hivi wewe umefikiri kabla ya kuandika huu ujinga wako hapa? sasa watu wa vijijini hawapigi kura? CCM haipo kwa ajili ya watu wa mijini, mikoani, wilayani, katani wala kitongojini, CCM ipo kwa ajili ya wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kidumu chama cha mapinduzi kidumu daima.
 

huu ni wakati wa kuwapa ushauri chadema maana siasa yao bado changa, chama chenyewe hakijulikani halafu kinawanachama mashabiki wala sio wakereketwa kama ilivyo kwa ccm, ila wanajitutumua kusema m4c itawapa nchi? hawa jamaa wanaota mchana mchana.
 
huu ni wakati wa kuwapa ushauri chadema maana siasa yao bado changa, chama chenyewe hakijulikani halafu kinawanachama mashabiki wala sio wakereketwa kama ilivyo kwa ccm, ila wanajitutumua kusema m4c itawapa nchi? hawa jamaa wanaota mchana mchana.

ngoma ya kitoto hiyo haikeshi. wanaota ndoto za mchana mchana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…