Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Chemba imefumuka,harufu chafu imetawala igunga,poleni sana.
 
Anakonda narudia tena, nilikuwepo ktk mkutano huo, aibu! maana jamaa baada ya kuropoka sana, na matusi, tena kwa kinyiramba, kashfa kwa viongozi wa cdm, kama kumwita mh Kasulumbai ni mchawi wa kuogopwa, uongo kuwa cdm ndo wauaji ktk mikutano, wananchi zaidi ya nusu waliondoka ktk mkutano! Binafsi nilihisi aibu kwa mkuu wa wilaya aliyekuwepo akitegemea ndg yake mwigulu atatema cheche! akaishia kuachwa mkutanoni!
 
afunike nini? Labda kwa uendawaz na ukrtmba uwehuu
 
When will M4C go to Singida (Nchemba's constituency ???) I will personnally (sp) contribute for fuel and other related costs including allowances etc

m/kiti kasema watatumia na chopper.
 
hapo kwenye wekundu....kauli hiyo hiyo inaihusu pia CDM.....THINK!!!!
 
mwache apoteze muda wake cdm wakienda lazima apanic na kuanza kutukana
 
ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
Naona amelakiwa na wake za watu, waume wa Igunga kuweni macho, mfungulia zipu wake za watu kaingia.
 
Masikini mkoa wangu wa Tabora sijui wanyamwezi ccm wametunywesha dawa gani aisee!!Yaani wanaufanya mkoa wetu uzidi kudidimia kimaendeleo lakini tunaendelea tu kuwaungamkono duh!!
 
mwisho wao ni 2015, wataisoma tu namba 2015 CDM.
PEOPLEEEEEEEEEES.......................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Njaa mbaya sana!!
Wakati watu wenye hekima wakijiunga na CHADEMA kuna wendawazimu wachache wao bado wanaendekeza njaa.

Poor Poor Poor CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…