Sasa hii picha wameipata wapi?Fredrik Sanga niamini mimi hapa Igunga jamaa kaendelea kushusha hadhi yake na ccm mno! najaribu kuongea na wazee vijiweni wanaonesha kukerwa sana na namna wana-ccm wanavyowaona wana-igunga kama watu wasio na uelewa, wasio na habari. Mwigulu kupanda jukwaani na kutangaza kuwa jeshi limeapa kuilinda ccm daima ni ujinga, na wananchi wamechukia Well, tuombe uzima tukingoja duru nyingine ya uchaguzi.
Sasa hii picha si ni ya uongo basi?
Sasa hii picha wameipata wapi?
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
Hiyo picha niyalini na ni eneo gani la Wilaya ya Igunga,maana mie niko hapa sijaona
View attachment 64842 ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
Ndugu mleta mada unapoonyesha picha tu na kusema mwigulu kafunika bado haujaeleweka tunaomba tupatie maelezo angalau kwa ufupi aliyoongea Mwigulu ambayo yataendana na heading yako sio kuleta ushabiki tu, mkutano kuwa na watu wengi usifikiri ndo mafanikio unaweza kukusanya watu wengi na mwisho wa mkutano wote wakakudharau kutokana na kauli zako kwa hiyo ikawa sio umefunika bali umefunuka, tumeshuhudia hata kwenye misiba ya Majambazi watu huwa wengi sana usifikiri wamefika kwa hudhuni ya kufa kwa huyo jambazi bali hufika kwa ajili ya kuhakikisha kweli jamaa kafa? kwa hiyo hata hao unowaona wanahudhuria mikutano ya CCM ni kuhakikisha kama kweli CCM imekufa na hii inadhibitika kutokana na maneno yanayotolewa katika mikutano hiyo. nafikiri umenipata KoffieCCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
no comment
coz wasukuma siku
zote ukiwapelekea malori
ni rahisi kujaza ata uwanja wa
taifa wote........
~tatizo je wanakuelewa unachosema?
~je watakukumbuka tena
~je ukiwaangalia wanakazi mbadala yakutokuepo hapo( shamba basi)
~je mtu wanaye msikiliza ni mstrabu wakueleza hoja za chama chake kama tu ata majukumu ya cheo chake hafanyi?
~ n.k
inauma sana mali ya umma kutumika
vibaya wakati operation line ya lumumba njaa teleeeeeeee
V
SENGEREMA
View attachment 64842 ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje