King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,408
- 99,281
kumbe unajua kama mi mtoto ulitaka kunibembenda eeeh
Kwani nawe umesahau ile hadithi ya sungura zamani zile ya sizitaki mbichi hizi?
Rangi ya tumbo amemechisha ni hicho kiguo cha chini alafu kifuani na mapajani rangi zinafananaRangi ya tumbo ni tofauti na sehemu nyengine
Mpwa hata weweee washazimalza niniHalafu vidole vyake vibaya kama sura yake
Mimi naoa miaka sita ijayo utakua umekua kua kwangu haina tabu sina haraka na wewe
thank u mshana jr nitakupa buku shing tano
Kwani nawe umesahau ile hadithi ya sungura zamani zile ya sizitaki mbichi hizi?
Anatumia sliming belt huyu
Halafu vidole vyake vibaya kama sura yake
Kwanza hebu compare kwanza miguu kama nilivyo duarisha hapo, pile check color ya tumbo na other parts haimatch, pia chek kwenye duara la kiunon kama kuna portion imeongezwa,
mengine endleea kuangalia amekaa kama kilema hiv
Hii sio slimming belt inaitwa corset
Hata kwani najua basi?
Ndo hizo basi celebrities wengi huvaa hizo wakiwemo wa majuu zinamfanya mtu anakua na kashape kama huyo mdada ila zinabana sana inatakiwa uvumilivu. Ila hata watu wa kawaida wanavaa wenyewe huziita sexy corset
Mimi ndo maana ugonjwa wangu kuku wa kienyeji! Unapata kitu halisi mpaka harufu