Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amesema chama chake hakitishwi na ushindi wa kimbunga ambao CHADEMA wameupata kwenye uchaguzi wa mutaa 44 uliofanyika Jumapili Sumbawanga.
Akihojiwa na Radio WAPO FM baada ya chama chake kuambulia sifuri kwenye uchaguzi huo Mwigamba alisema anauona ushindi huo wa CHADEMA kuwa wa kawaida sana.
Katika uchaguzi huo ACT wanatuhumiwa kushirikiana na CCM wakati wa kampeni kwa kushambulia CHADEMA kwenye mikutano yake.
Pamoja na vituko hivyo CHADEMA ilionyesha ubabe wake wa kisiasa nchini kwa kuzoa viti 38 sawa na asilimia 88% huku CCM wakiambulia viti 5 sawa na asilimia 12% na ACT wakiambulia 0%.Mtaa mmoja haukufanyika uchaguzi kutokana na pingamizi.