nosocomial
JF-Expert Member
- Dec 6, 2013
- 404
- 45
Jiwe litaahonda dhidi yake
Safi sana kiongoz unajitambuamnyika amefanya kazi yake bungeni kama inavyotakiwa,ameuiza.maswali ya msingi kuliko wabunge wote bungeni,vile vile.ndiye mbunge pakee no moja kwa kuuliza mswali ya nyongeza,huyo ndiye mbunge machachari mnyika,waliyofutia no mbili mpaka hamsini wote ni wabunge wa ukawa naanza kuwataja
no 2 tindu lisu
no mosesi machali
no3 halima mdee
mkosamali
david.silinde
wenje
peter msingw
sugu ak mbilinyi
esta matiku
p getrud
kafulila endelea
Mwigamba ni noma
Huyu hata akishindanishwa na jiwe,jiwe litashinda
Sisi wana ubungo hatumtaki kabisaa mnyika,dumu la maji tunanunua 2000 kwa sasa
CCM ushindi daima. Tuliikopesha tu CHADEMA jimbo letuHata wakisimamisha jiwe VS Mnyika Ubungo, jiwe linashinda!
kumuweka Mwigamba Ubungo kupambana na Mnyika ni sawa na kupambanisha Bacelona na yanga
We ni wa hovyo kabisa usemee moyo wako sio watu wote wa Ubungo.maccm mtasubiri sana.kwa kuwa ndoto ni bure endelea na ndoto zako.
unasema maji eehe...kazi ya mnyika sio maji.Mnyika wa 2010 sio huyu, wanaubungo walikuwa na matumaini naye baada ya kuwaahidi mambo kadhaa, ila sasa keshapoteza mvuto, kwani hajatekeleza ahadi yake hata moja!
Hata wakisimamisha jiwe VS Mnyika Ubungo, jiwe linashinda!