Ikitotanzira
Member
- Feb 12, 2019
- 24
- 151
Moyo Wenye Huruma
Ni dawa Kwa Wenye Machozi,
kila aonaye Thamani Ya mwenzake
Hupata thawabu ktk ufalme wa Mungu,
Najua Si rahisi Kuishi Bila Kikwazo Ktk Maisha
Napenda kukuomba radh kwa lolote nililo wahi kukukosea au kukuudhi maana naelekea ktk mwezi mtukufu wa ramadhani, kama huna kinyongo nami nirudishie msg hii leo..tuma kwa ndugu na rafiki ujue upendo wao kwako mie nimeanza na wewe! nakutakia maandalizi mema ya RAMADHAN QAREEM.